makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,856
- 103,981
Oii.. mbona mornie mornie...
Umekojoa kitandani nin??
Umemsaidia bitoz nyangema..


Tycoon MAKAVELI Jr.
Umekojoa kitandani nin??
Umemsaidia bitoz nyangema..


Tycoon MAKAVELI Jr.


Mawe naanzaje kwa mfano, mie sina michezo mibaya, mama kanikataza.Huu ushemela sio Wa nchi hii
Nahis shululu atazidiwa kete soon
Ugali kwa matembele ndio safi, na si ugali tembele wala ugali matembele..Ugali tembele au matembele? Hii mboga inayoitwa tembele ni ipi tena hio?
Usinipachike joh.. nisilokuwa nalo mie..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
huyu makaveli ni hataree
Sanaaa wale wa ushuani wakina husna na mama jj na madame s maisha yetu ya uswazi hawayawezi
tangu ln mbagala pakawa ushuaniWivu tu huo.... Mjukuu mwee wangu yuko makiniHuu ushemela sio Wa nchi hii
Nahis shululu atazidiwa kete soon
Wazima
Unamwambia nani?Oii.. mbona mornie mornie...
Umekojoa kitandani nin??
Umemsaidia bitoz nyangema..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Basi sawaUgali kwa matembele ndio safi, na si ugali tembele wala ugali matembele..
Ila c wajua lugha za vijana mzee![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
Aahh.. ndio maana, nikawa najiuliza mbona huyu binti mswahili mnoo. Upashukunu umemjA tele km pishi la mchele kumbe ni mbagala 1..![]()
![]()
tangu ln mbagala pakawa ushuani
Ni kwa ObeSio Obe tena.... Ameshahamia kwa toz?
Mi nilikuwa nadhani na wewe ni miongoni mwa wale wanaosema kuita matembele ni matusi.Ugali kwa matembele ndio safi, na si ugali tembele wala ugali matembele..
Ila c wajua lugha za vijana mzee![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
Mitaa ya cinema pale msasaniTeh teh teh... aaagg!! Husna umenikosha, enzi hizo tycoon ni tycoon kweli.. unarud mayenu hutoki hata jasho.. mie n mwanangu shululu..
Wakat huo morogoro road haina hata lami... siku zinaenda kweli..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Bora useme hvyo babu..Wivu tu huo.... Mjukuu mwee wangu yuko makini