Makapuku Forum

Makapuku Forum

f0ff5a1cf4b43e2c32de88edf09312a8.jpg


Tycoon MAKAVELI Jr.
 
Dah.. umentajia mtuu, mie mwenyewe namsaka jonax, briz na quigley... mjomba mussolin5 aliaga wakat mie bado nipo mtamboni..

Nmewamc sana hawa watuu


Briz ndugu yangu jimena anakutafuta
Sweetiepie
Jonax mpiga tonye maarufu, nadhan kamrithisha tozi, ila still tunakusaka
Quigley mc u broo
Mussolin5 nmekumc mnoo broo

Popote mlipo jua nawakubali kichiz ndugu zangu

Tycoon MAKAVELI Jr.
Musso ana majukumu
Sweet ana majukumu pia
Briz labda anatumia ID nyingine siku hizi......ni jambo la kawaida tu

Hao wengine wote wapo humuhumu Jf karibu kila siku kama una jambo la msingi nao watafute PM
......
 
Labda la sekondari

Tycoon MAKAVELI Jr.
Sio labda
Mi huwa nawaonaga sana tu ila huwa simfuatilii mtu nikimuona kwenye thread zingine
Uswahiba wamgu na mtu unaishia kwenye hii thread(wachache sana nafahamiana nao nje ya Jf kati ya 50 anaweza kuwa m1) ila humu Jf kila mtu na mambo zake ndio maana nimekushauri kama una ishu nao watafute PM utawapata

....
 
Neno la leo

Wabarikini wale wanaowatesa, barikini wala msilaani. Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wale waliao.

Kaeni kwa amani ninyi kwa ninyi. Msijivune, bali mwe tayari kushirikiana na wanyonge. Wala msiwe watu wenye kujivuna kwamba mnajua kila kitu. Msimlipe mtu ye yote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote. Kama ikiwezekana, kwa upande wenu kaeni kwa amani na watu wote.

Wapendwa, msilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa: “Kisasi ni juu yangu, mimi nitalipa, asema Bwana.” Badala yake: “Adui yako akiwa na njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mnyweshe. Maana ukifanya hivyo, utampalia makaa ya moto yanayowaka kichwani pake.” Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.

Warumi 12:14‭-‬21

MUWE NA JUMAPILI ILIYO NJEMA NA ASUBUHI NJEMA MBARIKIWE SANA
Amen
 
Habarini za asubuhi.. Habarini za Jumapili... Naamini mmeamka salama wote..

Tumshukuru Mungu kwa kila jambo, hali ulonayo ni mpango wa aliye juu, mtukuze Mungu ukiwa u hai. Acha kulia, acha kulalamika, acha kuhuzunika Mungu anaenda kukutatulia yote..... Mungu Wangu hajawahi kushindwa, yeye anashughulika na kila kitu.... La mnoo ni kumshukuru kwa kila hali...

Mungu wangu awape haja ya mioyo yenu
Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom