shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Enzi hizo wewe uko usambaaniHiyo morogoro road haina lami nimewaza tu sijui utakuwa kahenga ka mwaka gani
Enzi hizo wewe uko usambaaniHiyo morogoro road haina lami nimewaza tu sijui utakuwa kahenga ka mwaka gani
Anahisi papuchiSijui jaman [emoji85] kwani we unahisi nini
Me born here here shemela sijaja na fuso ujueEnzi hizo wewe uko usambaani
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Aahh.. mie sijui ndio nmekuuliza wewe..
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji3][emoji3]Anahisi papuchi
PM gani mkuu prime minister au post meridiem..[emoji23] [emoji23] sina utaratibu wa kumuibukia mtu huko.. yote yanaishia hapa labda iwe ishu siriaz saanaSio labda
Mi huwa nawaonaga sana tu ila hi a simfuatilii mtu
Uswahiba wamgu na mtu unaishia kwenye hii thread(wachache sana nawafahamiana nao humu Jf) ila humu Jf kila mtu na mambo zake ndio maana nimekushauri kama una ishu nao watafute PM utawapata
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Hiyo avatar shemeji ibadilishe, rudisha ile ile, ni maoni yangu tu
MhhUsijali shem
Nitaiondoa, nimefua lile lemba halijakauka
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Uende na kanisan.. sio kaz kutoa vifungu tu.. km mjomba tundu lissu vile[emoji23] [emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Na mimi je nimrudishe wa mwanzo [emoji125]Hiyo avatar shemeji ibadilishe, rudisha ile ile, ni maoni yangu tu
Wewe tena na akili zako mshazali, sijui pembe3 pacha hiz.. nani alikuambia nmehis papuchi.. kaone vile..Anahisi papuchi
Uje shemela wewe nahisi kama sio kule kanyigo basi usambaani ujue hisia zangu naziamini sanaKachomekea tu huyo mpemba [emoji3] [emoji3]
Teh teh teh...Usijali shem
Nitaiondoa, nimefua lile lemba halijakauka
Mtandao ulikuwa vibaya nadhaniHapana mzeewakungoa
Ndio najiandaa hapa shemela hivi nakosajeUnaenda na wewe shemela
Nalifahamu hilo pole sana shemelaNiko poa kabisa mama D,huku baridi ipo
Ya nauli [emoji85] [emoji85]Buku [emoji15] ndio hela gani
Wote wote shemela ila wa mwanza ndio sanaWa kigoma au mwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kina bitoz, lee, eden n.k
Tycoon MAKAVELI Jr.
Umeulizwa.. kwan shululu hajaiona yako.. kah.. mtoto una kisebu sebu na kiroho papo..Na mimi je nimrudishe wa mwanzo [emoji125]