Makapuku Forum

Makapuku Forum

Duuh ayo maneno sjaelewa chochote mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio lugha yetu hiyo ya kiswahili, kuna maneno ni magumu kuyaleta kwenye kiswahili..

Nilijua unakaadia ka jiography kidogo ndio maana nikakuelezea hivyo, sasa kivingine tabu kidogo lugha yetu haijakamilika hasa kati nyanja hii
 
Na yy angenyamaza asingesema km kanishindwaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Tatizo alikataa kuchinja bata mi napendA nikienda kwake kabla ya kulala tupige supu ya bata kwanza afu mengine yafuate

By the way siri yako mkuu nina mume humu
Basi mkuu hilo limefika.. nalifunika na mfuniko wa zege..
 
Back
Top Bottom