Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nitatupia historia ya hii vita ina episode km 8 hivi![]()
Moja kati ya Vuta chache zilizowaumbua Wamarekani kando ya Vita ya Ghuba![]()
Wamarekani walipigwa na wavaa kofia za mikeka(Wavet)
....
Nitatupia historia ya hii vita ina episode km 8 hivi![]()
Moja kati ya Vuta chache zilizowaumbua Wamarekani kando ya Vita ya Ghuba![]()
Wamarekani walipigwa na wavaa kofia za mikeka(Wavet)
....
HayaHaya baki zam yako mimi ndio niondoke
Madame S
Twin umemzimikiaaaa[emoji4]Sema ni hb hataree
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mrs akiwa kwa mumewe kwetu ni miss tuu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee nawe umeanzA, una nongwa km mtoto wa mganga.
Movement ya tectonic plates mkuu..
Baba D ni utani tu wa kapuku ujueAsantee alafu nisikie unalialiaaa
Niko hapa mzee ya peremende ila kwa leo mr x sitoweka mapema
Bora umetoa taarifa nisalimie hukoWakuuu kumekucha swalamaaaaaa. ..
Leo sitoweza kuweka vitu muhimu mapema. ..tukutane baadae
Nisipoonekana sio kwamba nimetekwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aendelee tu kuteka binamu.....wewe hutekwi, ulishafuzu, unateka tu. Vipi umeamka salama anko? Ile daaawa naona mganga anakuponyesha vizuri
Hii inasababibshwa na miamba ya chin kuvunjka along a fault(sudden slip on a fault), kuvunjika huku kwa ghafla, hii inasababisha seismic waves inayofanya ardhi itingishke haya mambo yanatokea kwenye miamba ya lithosphere mwamba wa chin kdogo ya uso wa dunia km km 50 mpaka 140
Me yangu macho tu binamuAnko acha kumuudhi aunt, ujue juzi kaambiwa anisalimie na mama mchungaji!? Sasa usiharibu kabisa
Nimekusamehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani nisameheni
Madame S
Muke ya Lee acha tukumwagie mapesa ya udhaminiTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa shemela shunie
Mrs kwa mumewe kwetu ni miss tuu..Nilikwambia huyo miss ni Mrs
Au mama d
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Loh!! Una vipande [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakua nakuogopa
Madame S
Nin..!! mbona unaguna kama .........[emoji85] [emoji85] [emoji85]Mmmh
Mtoto Wa Dr ng'wizukulu jilala matunge[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda inawezekana mtoto wa mganga kweli
Madame S
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]