makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,827
- 103,921
Kaone kwanza![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hata mm sijasema
Kaone kwanza![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hata mm sijasema
It takes a lot of provocation to make me angry Shunie.... Believe me Shunie I am not angry.... After all Jimena mshikaji wangu wa siku nyingi(sijasema demu wangu)

Kipigo gani tena hiko jamanShaur yako.. we jipendekeze uone balaa langu.. navua mpaka ngozi, bora ukutane na wajeda kuliko kuingia anga zangu.. kipigo cha mbwa mwiz afadhal..
Nipe uzoefu wakoSaaana yaani
Sawa babuIt takes a lot of provocation to make me angry Shunie.... Believe me Shunie I am not angry.... After all Jimena mshikaji wangu wa siku nyingi(sijasema demu wangu)
Ni vile unanifurahishaga tuNin shem..
Yashakufika nin
He he he
Hiyo ya mapenzi auNimeipenda hio post sijui wewe kapungu mwenzangu vp?



Singekuwa mpendwa wangu obe kujipitisha pitjisha Jana ungegongwa wewe haki ya nani tenaHaya sawa shem.. ushapata kifungua kinywa!?Ni vile unanifurahishaga tu
YesIs it that serious?
Nimeshapata shem asante mwayaHaya sawa shem.. ushapata kifungua kinywa!?
miandiko yao inafanana et!Ha ha ha ha ha ha ha ha ha.... Kama wewe bado utakuwa na umri mdogo sana.Yashakufika nin
Mbona umefurahi mjukuu wangu?He he he
HaswaaaaHiyo ya mapenzi au![]()
![]()
We nawe lopo lopo.. mbona unakuwa kama mtoto wa ngoman husna..
![]()
![]()
jina lako na mambo yako tofauti, hizi ni tabia za kina chausiku,chuki,mwantumu n.k

Sifa ya mwanamke ni kutongozwa..Usiwe unapotea sana love, maana nanusurika kupigishwa sound
Madame S