Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Ewaaaa hapa sawa shem akeeHaya!! Shemej shunie
Ewaaaa hapa sawa shem akeeHaya!! Shemej shunie
Shemeji banaWewe shunie tu.. shemeji vip unalazimisha!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi simooTozi nae chawwiii
Usijali mjukuu wangu..... Unajua niliingia maabara kufanya research ya ID mpya. Ndo maana nilikuwa busy sana. [emoji3][emoji3][emoji3]Usipotee hivyo babu jamaan tutakusahau ujue
Basi wapm mods wakubadilishie tu id kama unakwaza wengine babuUsijali mjukuu wangu..... Unajua niliingia maabara kufanya research ya ID mpya. Ndo maana nilikuwa busy sana. [emoji3][emoji3][emoji3]
Linanimalizia Mb za ubongo kufikiria majibu... Maswali yamezidi [emoji3][emoji16][emoji16]Babu usibadili bana tumeshalizoea hili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Darasani*
*MWALIMU* Nakua mbona Leo unawaza sana darasani? [emoji18][emoji18]
*NAKUA* kwasababu baba yupo polisi na mama yupo hospitali
*MWALIMU* ooh pole mwanangu, kwa hiyo unahitaji kwenda nyumbani?
*NAKUA* ndio MWALIMU
_NAKUA akaenda nyumbani, na MWALIMU akawauliza wanafunzi wenzie_
*MWALIMU* kwanini baba Yake NAKUA yupo polisi na mama yake yupo hospitali?
*wanafunzi* kwasababu baba yake ni polisi na mama yake ni nesi
*MWALIMU* pumbavu sana huyu mtoto! Mwiteni arudi
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
*[emoji437]♂*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thema kweli weeShaur yako.. we jipendekeze uone balaa langu.. navua mpaka ngozi, bora ukutane na wajeda kuliko kuingia anga zangu.. kipigo cha mbwa mwiz afadhal..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Hahaa.. hapa unachek movie, hapa una askirimu yako safi ya ubuyu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji85] [emoji85] [emoji85] Eeehh... bibie hayo umeropoka weye, mie sijasema
[emoji6] [emoji6] [emoji6]Ewaaaa hapa sawa shem akee
It takes a lot of provocation to make me angry Shunie.... Believe me Shunie I am not angry.... After all Jimena mshikaji wangu wa siku nyingi [emoji16][emoji16][emoji16](sijasema demu wangu)Babu nakujua umekasirika jaman wasamehe tu kila mtu anajua maana ya id yake anayotumia uwe na amani
Nin shem..Shemeji bana
Saaana yaaniIla alikuwa ananogesha saana
Shimo la mchanga au[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi simoo
![]()
Huyu babu anasifika kwa kupenda dogodogo![]()
Pata burudani kidogo
......
Shaur yako.. njoo mtaan utambia makaveli ndio nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thema kweli wee
Basi libadili tuLinanimalizia Mb za ubongo kufikiria majibu... Maswali yamezidi [emoji3][emoji16][emoji16]