Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Heheheheheeeee jamani babu basi nakuaminiHata babu pia hamniamini? Mbona Lee ananiaminiii
Heheheheheeeee jamani babu basi nakuaminiHata babu pia hamniamini? Mbona Lee ananiaminiii
Matic kashachukuliwaWe jamaa huku umekuja kufanya nini au umekuja kutusalimia chama kubwa makapuku forum
Karibu mzee wa kuwahi viti vya mbele
Hahahaaaaa
Kumbe wewe Madrid kama mimiAlipo Ronaldo nipo mimi
Poa sana... Habari za porini
Naby Keita sio?Wewe namba sita kwenye list
4/Ostankino Tower![]()
![]()
Huu ndo mnara mrefu zbaidi barani Ulaya
Upo kule kwa "Kumsamehe gaidi ni kazi ya Mungu ila kumpeleka gaidi kwa Mungu ni kazi ya Putin"
Sasa ole wao ISIS wakaulipue kitakachowapata watajua webyewe tunaweza tukaokota hadi bongo vichwa vilivyojaa ndevu kama kambale
Upo jijini Moscnow nchini Urusi
Ulianza kujengwa mwaka 1963 na kukamilika ujenzi mwaka 1967
Unatumika kwa ajili ya kurushia matangazo ya luninga na radio,kutizama jiji la Moscow na utalii
Pia ndo jengo refu zaidi barani Ulayaa na kwa dunia unakamata # 11 ukipambanishwa na majengo yote
Una urefu wa mita 1,772
.......
Yaaani Rafiki kipenz sijui nifanyeje mpaka uniamini... Tatizo unasikiliza maneno ya waklomijeEbhuu pishaaa

Thank you mumie!Nawashukuruni mnoo kwa umoja wenu jamanii..
Lee Asante natambua umuhimu wako kwangu, Shunie wewe ndo bega langu wakati wa kulia kwangu... Unajua venye Nakupenda mdogo wangu.... Tumoo na shululu natambua umuhimu wenu mpaka nikinuna mwajua... Nyagei you're the best, we ndo mlinzi wangu.... Mzeewakungoa na Bitoz nashukuru kwa kampani yenu na kujali pia...
Husna na JJ natambua uwepo wenu kuniombea mama mchungaji popote ulipo Nakupenda mamangu.... Sala zako zinafika kwa wakati!!!!
T wangu sio kwamba nimekusahau... Wewe ni wangu tuu.. Mr Obe Ubarikiwe mnoo jamanii jana nimepata nyimbo zakooo.... Wana kapuku kwa ujumla... Nawapenda...
Till next time....
Muwe na jioni muruaaaa
Mjukuu humu ni wewe tuUnaongea na naniiii![]()
Tumekumiss pia babaaAsante, wasalimie kina JJ, nimewamiss
Kwani mbaya wenu...Hayo mafumbo vipiiii ebu ongea babu ueleweke sipendi mafumbo mimi
Mchana mwemaa...
Dont forget to take your Lunc Deat
Lunch
hadi ngeliSaaaaanaHahahahahahaaaaa aiseeee kumbe huku kuna raha jamani
OkaySaaaaana
WanguuuMdomo huoo
PapAaa......Nawasalimuni wapendwa.....![]()
Mbona unafukua makaburi wanyumbaniHahahahaaa... ukimkunda mvyee mwambie tu