Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Mkuu na huku upo pia?Fresh MAster
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Sawaaaa
Mdau wa reply the first...Asante aisee...vipi
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Eeh!![]()
Kapuku living my dream
Private geologist
Thanks bitoz![]()
End
.
.
.
.
Nitarejea kushusha 10 kubwa
.....
Asante, wasalimie kina JJ, nimewamissCjambo mpenz pole na kazi
Ooooh!Nawashukuruni mnoo kwa umoja wenu jamanii..
Lee Asante natambua umuhimu wako kwangu, Shunie wewe ndo bega langu wakati wa kulia kwangu... Unajua venye Nakupenda mdogo wangu.... Tumoo na shululu natambua umuhimu wenu mpaka nikinuna mwajua... Nyagei you're the best, we ndo mlinzi wangu.... Mzeewakungoa na Bitoz nashukuru kwa kampani yenu na kujali pia...
Husna na JJ natambua uwepo wenu kuniombea mama mchungaji popote ulipo Nakupenda mamangu.... Sala zako zinafika kwa wakati!!!!
T wangu sio kwamba nimekusahau... Wewe ni wangu tuu.. Mr Obe Ubarikiwe mnoo jamanii jana nimepata nyimbo zakooo.... Wana kapuku kwa ujumla... Nawapenda...
Till next time....
Muwe na jioni muruaaaa

Nawashukuruni mnoo kwa umoja wenu jamanii..

Bila nasi tunafurahia uwepo wakoNawashukuruni mnoo kwa umoja wenu jamanii..
Lee Asante natambua umuhimu wako kwangu, Shunie wewe ndo bega langu wakati wa kulia kwangu... Unajua venye Nakupenda mdogo wangu.... Tumoo na shululu natambua umuhimu wenu mpaka nikinuna mwajua... Nyagei you're the best, we ndo mlinzi wangu.... Mzeewakungoa na Bitoz nashukuru kwa kampani yenu na kujali pia...
Husna na JJ natambua uwepo wenu kuniombea mama mchungaji popote ulipo Nakupenda mamangu.... Sala zako zinafika kwa wakati!!!!
T wangu sio kwamba nimekusahau... Wewe ni wangu tuu.. Mr Obe Ubarikiwe mnoo jamanii jana nimepata nyimbo zakooo.... Wana kapuku kwa ujumla... Nawapenda...
Till next time....
Muwe na jioni muruaaaa
Mdau mi mwenyewe sijui kabisa wabafanyaje
Taratibu ujue