Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Itabidi desemba uende ukAjifunzeBasi muwe mnapunguza kuongea hiyo lugha yenu ili na sisi tuwaelewe jamani😀
Itabidi desemba uende ukAjifunzeBasi muwe mnapunguza kuongea hiyo lugha yenu ili na sisi tuwaelewe jamani😀
Aisee mrefu....2/Canton Tower![]()
![]()
Upo huko Guangzhou nchini China karibu na Pearl River
Zamani ulijulikana kama Guabgzhou Tv Astronomical & Sightseeing Tower
Ulianza kujengwa nwaka 2005 na kukamilika mnamo mwa 2010
Matumizi yake makuu ni kurushia matangazo ila pia utalii na biashara
Una urefu wa futi 2,000
.......
OkayGood
Acha ugombanishiiNa husna kuwa makini nayee
Kwaajili yake tu nitaendaItabidi desemba uende ukAjifunze
Uwe na amani tuKaniambia ni dada ake ila nitakuwa nawafuatila nione kama kuna ukweli
Sawa haina shidaUwe na amani tu
Kwema.. !! comrade?Angalia pm yako
Jioni njema Dada na Kaka zangu..
Bye my lovely C
Bakudediketi ka nyimbo ka Rich mavoko_Wanakutamani
kazi ipo
Asante bitoz kwa kumi kubwa1/Tokyo Skytree![]()
![]()
Unapatikana huko kwa akina Takuma Asano,Shinji Kaawa,Junichi Inamoto na Hidetoshi Nakata au ukipenda tu waite wazee wa Toyota
Ndio mnara mrefu zaidi duniani ,umejengwa jijini Tokyo nchini Japan![]()
Kuufananisha mnara huu na ule wa Paris ni kama kumsimamisha kistuli na Hasheem Thabeet tu
Ulianza kujengwa mwaka 2008 na kukamilika mnamo mwak 2012
Unatumika kurushia matangazo,utalii na biashara kwahiyo kama unataka kuuona mnara mrefu zaidi duniani kwa macho yako nenda huko acha na ule wa Paris
Una urefu wa futi 2,080
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutabe kesho
Mwisho
...............
Ayoo chacha ndo maneno unapiga mtu na koformat mafaili yote kichwanii

AsanteTumekumiss pia babaa
Kikubwa nachokiona ni kumruhusu pogba awe huru make fella alikuwa anampa kazi ngumu Pogba ...uzuri wa Matic ni uwezo wake wa kushuka nyuma ya mstari na kuzuia mbele ya mstari ....mechi ngumu usishangae mzee anaua 8 na kuwaanzisha wote alafu Pogba anafanya anachotaka uku ikiwa ni advantage kwa lukaku. ...Habari njema
Ila mbaya kwa mkubwa Fella
Sijui watapangwaje wote yaani Matic,Carrick,Pogba,Fella & Herrera
Naona maumivu kwa Fella zen Mata halafiu Lingard
Ila Fella ataumia zaidi
Ila ni jambo jema kuwa ns kokosi kikubwa
.......
Asantee1/Tokyo Skytree![]()
![]()
Unapatikana huko kwa akina Takuma Asano,Shinji Kaawa,Junichi Inamoto na Hidetoshi Nakata au ukipenda tu waite wazee wa Toyota
Ndio mnara mrefu zaidi duniani ,umejengwa jijini Tokyo nchini Japan![]()
Kuufananisha mnara huu na ule wa Paris ni kama kumsimamisha kistuli na Hasheem Thabeet tu
Ulianza kujengwa mwaka 2008 na kukamilika mnamo mwak 2012
Unatumika kurushia matangazo,utalii na biashara kwahiyo kama unataka kuuona mnara mrefu zaidi duniani kwa macho yako nenda huko acha na ule wa Paris
Una urefu wa futi 2,080
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutabe kesho
Mwisho
...............
Ha ha ha ha ha ha.... Wanyumbani usiliamshe bana.... Mjukuu unamuona huyu.Wanyumbani ongea vizuri na wakwetu..
Wewe ni Mjukuu mwee... Nafasi yako iko palepale