Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Hbr ya leo mke mweeeKho kho kho nipumue sasa jaman
Hbr ya leo mke mweeeKho kho kho nipumue sasa jaman
I didn't plan for this..! It happend accidentally..Ila kaa ukijua T umejua kunitesea sakayo aisee siku nyingine usimfanyie hivyo
Hayo mafumbo vipiiii ebu ongea babu ueleweke sipendi mafumbo mimiWe utamjua mbaya wako leo kabla halijachwa........ Kumbuka kikulacho.....!?
Lee jamanii.... Ila Ule wimbo wako Mmmmh.... Ulinifanya nilale!!!!Na mm alafu sakayo ananijibuuu vileee
Kwani kimetokea nini? Alivyozira kula?Ila kaa ukijua T umejua kunitesea sakayo aisee siku nyingine usimfanyie hivyo
Hapo ndio atajua umuhimu wakoNafikiri mpaka nikufweee ndo atajua kuwa nampenda
Na mama atakuwa kaja eeehMukongo jamaan
Msamehe tu baba dNa mm alafu sakayo ananijibuuu vileee
Oooh! Mimi sipo huko ila akiwa na mimi yuko very humble..Wa kwako na kunyongaa ananyongaa
Kwahiyo umeshaniona chizi eenh T rudi ulipotokaUnaongea na mimi au
Nani unamuweka kikaangoni?Nina kibano chake .....baadae namuweka kikaangoniiii shubamitiiiiiiii
SakayoUjue Nakupenda mdogo wangu.... Sio kwa kunifariji kule
I love only you
Safi mama jj za wewe ninayo episode ya 8Hbr ya leo mke mweee


kila mtu apambane na hali yake msubilini mbududa akipenda ndio aweke
Na kweli ilikuwa accidentally. ..I didn't plan for this..! It happend accidentally..
Pole sanaaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimeliamsha dudeMsamehe tu baba d
AminaHeri amkumbukaye mnyonge, Bwana atamwokoa siku ya taabu
Bwana atamlinda na kumhifadhi hai, naye atafanikiwa katika nchi, wala usimtie katika hali wamtakiayo adui zake![]()
ZABURI:41:1:2
Mbarikiwe muwe na mchana ulio mwema kwenu![]()