Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Swadakta mkuu..ni fresh baba sakayo aisee
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Karibu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Swadakta mkuu..ni fresh baba sakayo aisee
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
8/Tianjin Radio & Television Tower![]()
![]()
Wachina bhana wanaendelea kutamba tu kama kawaida yao labda kweye list y watu wenye macho makubwa tu ndo hawatakuwepo !!! Jamaa wanakaribia kuiebdesha dunia
Huunimnara mwingine wa mawasiliana(kurushia matangazo) ya luninga na Radio huko nchini China
Umehengwa mwaka 1991 huko Teinjin na kuliangaza jiji zima
Ujenzi wako uligharimu USD 45 Milion
Theluthi mbili ya mnara ni observation pod ambayo inaukubwawa mita za mraba 253
Una urefu wa futi 1,362
.......
Asante sana
Poa sana nimepewa ruhusa nikuite mama D ama shemela na mkuu LeeSafi za kwako
Sawa mkuu6/Milad Tower![]()
![]()
Nauzungumzia mnara na siyo mjomba wa bongo aitwaye Millard Ayo
Mnara huu Waarabu hupendelea zaidi kuuita Tehran Tower
Unapatikana jijini Tehran nchini Iran.....hawa jamaa wapo vizuri kiteknolojia
Mnara huu una matumizi mbalimbali,hutumika kurushia natangazo ya radio na lunnga,hutumika kwa a jili ta biasgara yaani migahawa n bao imejengwa hapo kuwahudumia watu pia ndo chanzo cha utalii jijini Tehran ....twendeni tukatalii tusiogope mabomu
Ulianha ujengwa nwaka 2000 na kukamilika ilipofika mwaka 2009 japokuwa ulianza kutumika mwaka 2007
Una urefu wa mita 1,427
.....................................
Zitaendelea baadaye
6/Milad Tower![]()

Waoooohhh my baby is back😉Mamaaa Mond karudi
Waoooohhh my baby is back😉
Nipo kakaAhaha vipi Sakayo...ulipotelea wapi Dada
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Mbona hamna kituAngalia pm yako
Nilikumiss sana bby booYes am back dear,Tell me Something
Nawashukuruni mnoo kwa umoja wenu jamanii..
Lee Asante natambua umuhimu wako kwangu, Shunie wewe ndo bega langu wakati wa kulia kwangu... Unajua venye Nakupenda mdogo wangu.... Tumoo na shululu natambua umuhimu wenu mpaka nikinuna mwajua... Nyagei you're the best, we ndo mlinzi wangu.... Mzeewakungoa na Bitoz nashukuru kwa kampani yenu na kujali pia...
Husna na JJ natambua uwepo wenu kuniombea mama mchungaji popote ulipo Nakupenda mamangu.... Sala zako zinafika kwa wakati!!!!
T wangu sio kwamba nimekusahau... Wewe ni wangu tuu.. Mr Obe Ubarikiwe mnoo jamanii jana nimepata nyimbo zakooo.... Wana kapuku kwa ujumla... Nawapenda...
Till next time....
Muwe na jioni muruaaaa

Oooooh! Mambo mwendo mdundoManchester United wamemchukua Matic kwa £50M
Contract ya miaka mitatu