Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Tuliaa mpeti petiiii ....sawa wewe leta utani kwenye mambo ya msingi utakuwa mteja mzuri wa geishaKwaninii
Tuliaa mpeti petiiii ....sawa wewe leta utani kwenye mambo ya msingi utakuwa mteja mzuri wa geishaKwaninii
ShukranWORLD CLUB FRIENDLY
![]()
Kwa udhamini wa Bitoz na Jimena sina la ziada katika sports segment. Tukutane kesho kwenye Sports segment nyingine.
.
.
.
.
.
×××××××××××××××END××××××××××××××××××
Yaishe mdogo waanguLeo ana kiburi sana bada ya we kuja mwache tu
Ndani ya nyumbaJoseverest
HahahaUlikuwa unakifwa ujue
Lakini Ronaldo sio mwanamke mbona umemind mjukuu wangu? Au wewe mpenzi wa Barça?Mifano mingine sio babu ujue
Nashukuru kusikiaa hivooSiwezi kukaa mbali kabisa na wewe shem wangu
HayaYaishe mdogo waangu
Thanks ....Mzima wa afya mydear..
Alipo Ronaldo nipo mimiLakini Ronaldo sio mwanamke mbona umemind mjukuu wangu? Au wewe mpenzi wa Barça?
Okay shemNashukuru kusikiaa hivoo
OyooAhahha jana ujue nilimuonea huruma sana leo mtanie tu sakayo mwenye roho ya baba
Ahahaha Baba D unamsikia sakayoOyoo
Leta utani sasa
Mi zaidiUnajuaa vile nakumisiiiu
Jioni njema Dada na Kaka zangu..
Bye my lovely C
Bakudediketi ka nyimbo ka Rich mavoko_Wanakutamani






Wahenga wanatukumbusha mbuyu ulianza kama mchicha ...Kaniambia ni dada ake ila nitakuwa nawafuatila nione kama kuna ukweli
Kijana punguza utoto ...ushapata mpendwaaJioni njema Dada na Kaka zangu..
Bye my lovely C
Bakudediketi ka nyimbo ka Rich mavoko_Wanakutamani
Na wewe pia beetles aah sorry keyboard error BitozHabari za asubuhi mabibi na mabwana
Wake kwa waume
Wakubwa kwa wadogo
Niwatakie wiki yenye baraka
....
Worry outMi zaidi