Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi sijui kama kunyonga anawezaWa kwako na kunyongaa ananyongaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi sijui kama kunyonga anawezaWa kwako na kunyongaa ananyongaa
Ameeeeeeiiiiiiniiiii[emoji524] Heri amkumbukaye mnyonge, Bwana atamwokoa siku ya taabu
Bwana atamlinda na kumhifadhi hai, naye atafanikiwa katika nchi, wala usimtie katika hali wamtakiayo adui zake [emoji524]
ZABURI:41:1:2
Mbarikiwe muwe na mchana ulio mwema kwenu [emoji120]
Baba yameisha basi khaa sikuelewi ujueWa humu nawajuaaa wakiona wenzaoo baby baby roho juuu
Make wengine wana wazeee wanatamani motomoto kama mond
Weeeee mondray usimtesaaa mrembo wetuu
Ila mapenzi bwanaaaah ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi sijui kama kunyonga anaweza
Ni kaka yetu
Umemwona huyo Mwizi wa kuku.... Sasa hv atatupia magoya uwani kwanguHa hahaha, kwa mganga kweli tulienda lakini tulifukuzwa kama wezi maana anko alimtongoza mtoto wa mganga hata kabla shida yake hajasikilizwa
UnalipwaaaaKamatiaaa mama
Leo mpaka majogoo
Usinambiee kuwa unachungaa mali yakoooBaba yameisha basi khaa sikuelewi ujue
Tenaaaa
Anataka kukuuaMmmmh
NilijuaaaaaaaUnalipwaaaa
Unaongea na naniiii [emoji15]Nafurahi kusikia hivyo mjukuu wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila mapenzi bwanaaaah ....
Yaaan wewe sakayo ndo leo wa kunijbuu hivooo...imeniumaaaa
Tayariiii huyooooUnaongea na naniiii [emoji15]
Sikuelewiii acha wenyewe na mapenzi yaoUsinambiee kuwa unachungaa mali yakooo
Hebu ongea mdogo wanguIla kaa ukijua T umejua kunitesea sakayo aisee siku nyingine usimfanyie hivyo
Kwa kweliiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpenzi wa mondray mwenye baby wake kakimbia we ndio nani tena jamanNilijuaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tayariiii huyoooo