[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Anko usiseme kwa sauti, ile safari nilipigwa majungu yaani matangazo yalianzia RFA, radio One, TBC, Uhuru Fm, Tuaini Radio hadi ile radio Heri ya Morogoro. Kwa hapa unategemea safari itakuwepo? watu wameweka matangazo hadi gazeti la An Nuur
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Nakumbuka
Hivi wabaya wako si ndo wangu ?? Tofauti na shunie sio mbaya kwangu ila kwako mbaya na husna mbaya kwangu ila kwako mzuri ...naandaa list ya pamojaa
Si ulimpa weweNaomba ulipeeee swamwawaaaaniiiiiiii ...unajua mtaji wa ekisiteeensheniii ametoaa wapiii??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]....yeah, anaitwa Queen, mtaji alipewa na pedeshee mutu ya barembo, mtama kwa watoto omba gold upate diamond, mujomba wangu mwenyewe
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Heeeee haya bhana
Ndo umesema nini?
Subiri waje warekebishe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namba tano imekosewa kabisa
Katibu wako lakiniList ya kichochezi hii
Ukisikia paaaKitaelewekaaa
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Shukrani mkuu shululu
Huko unakochukulia mazoezi usipaache aiseeKwani alipotea
Haya loveKwa Mimi anafaa asee....tena sio kidogo saaaana tu
Pamojaasante sana mkuu
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Hilo cheko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
KaribuSports segment soon
Baada ya kupata Unbelievable Fact, Dondoo, Isidingo we need, magazeti mubashara, historia + picha, Son of Gu
It's sports time welcome all