Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nitag jibuNdo anang'oa nini?
Nitag jibuNdo anang'oa nini?
SawaNitag jibu
Haijalishi tunachoangalia ni uaminifu ila yeye hana
Hivi ulisema list yako ndo yangu ..??
Maana kwa sasa list yako hiko hivii
![]()
Tumuongeze nan hapo ??
Hi hi binamu mbona tunafanyiana hivo ...si nilikwambia kwa queen mchajii simu usimfatilie na unajua kinachoendeleaa....yaani unamsifu mtu ambaye anakuwa mwaminifu kwa mtu mmoja tu? Lol, kimaadili timilifu ukiwa mwaminifu kwa mtu mmoja huwezi kuwa mwaminifu.
Kuwa mwaminifu ni lazima uwe mwaminifu kwa wengi..
Serious Note: Haya maneno ya juu sijaandika mimi, msijenipakazia kwa la habibti wangu. simu iko nachaji kwenye kibanda cha mpesa
Sasa ukishakuwa na mtu zaidi ya mmoja basi wewe sio mwaminifu....yaani unamsifu mtu ambaye anakuwa mwaminifu kwa mtu mmoja tu? Lol, kimaadili timilifu ukiwa mwaminifu kwa mtu mmoja huwezi kuwa mwaminifu.
Kuwa mwaminifu ni lazima uwe mwaminifu kwa wengi..
Serious Note: Haya maneno ya juu sijaandika mimi, msijenipakazia kwa la habibti wangu. simu iko nachaji kwenye kibanda cha mpesa
Naomba kama kuna mwingine niambie nifanye updates kwa leo tuwatangaze kwenye uwaziHa ahahaahahah, nasubiri watoto wa shululu na Tumosa niwaongeze kwenye list, kwa sasa muweke mzeewakungoa
Kwenye uaminifu yupo vizuri ndo maana mama ashura alimtuma dera akanunua mawili
Alafu safar imepotezwaaa
Nakumbuka...oh, kumbe unakumbuka haya mambo bado. Mjomba ujue makubaliano yetu mimi sasa hivi niko na mrembo ninayempenda sana, tafadhari usifukue makaburi.
Mimi nikifukua makaburi yako ya halaiki tusikimbiane humu
Hi hi binamu mbona tunafanyiana hivo ...si nilikwambia kwa queen mchajii simu usimfatilie na unajua kinachoendeleaa
Hivi hawa wabaya wetu tuwafanyejeeAnko usiseme kwa sauti, ile safari nilipigwa majungu yaani matangazo yalianzia RFA, radio One, TBC, Uhuru Fm, Tuaini Radio hadi ile radio Heri ya Morogoro. Kwa hapa unategemea safari itakuwepo? watu wameweka matangazo hadi gazeti la An Nuur
Naomba ulipeeee swamwawaaaaniiiiiiii ...unajua mtaji wa ekisiteeensheniii ametoaa wapiii??Nimetake advantage, nimejua mnachoendeleza, mnatembea naye sana tu ndo maana nachaji bure
Sasa ukishakuwa na mtu zaidi ya mmoja basi wewe sio mwaminifu
Na kweli naona hayo maneno yatakuwa yameandikwa na mtu wa kibanda cha mpesa
Ndoo maana mm kwenye list yangu haumoo....yeah, anaitwa Queen, mtaji alipewa na pedeshee mutu ya barembo, mtama kwa watoto omba gold upate diamond, mujomba wangu mwenyewe
Hivi hawa wabaya wetu tuwafanyejee
Heeeee haya bhana....yeah, anaitwa Queen, mtaji alipewa na pedeshee mutu ya barembo, mtama kwa watoto omba gold upate diamond, mujomba wangu mwenyewe
Unakoelekeaa kubayaa...dawa yao moja, tuwafungulie kesi ya uchochezi, hivi ipg bado ni rafiki yako?
Ndoo maana mm kwenye list yangu haumoo
MuongoHeeeee haya bhana