Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
KatekwaaaHakika kazi ni kwetu wasomaji
Wapi mpendwa wa mtaasisi
KatekwaaaHakika kazi ni kwetu wasomaji
Wapi mpendwa wa mtaasisi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tuliza munkali acha mtunzi afanye kazi ykeNdio nimemaliza ya pili sasa hivi asante sana aisee huyu dr asha hawezi kujitoa kwa mr x ila huyu mr x ni naniii na kule kwa zai alipompora babu bubu mkewe na mtoto wake hii story nayo kuna mda inachanganya
Akina jjWatoto wanaitwajeee vilee
Leo unaumwaHajambo
AkuuuuAu mke mwee ulimwambia Baba D kuwa una mtoto mwingine anaitwa k
Nilikua nawaza tu mke mwee ujue[emoji3] [emoji3] [emoji3] tuliza munkali acha mtunzi afanye kazi yke
[emoji133] zipNateteaa haki za watoto
Hajaonekana jukwaani hapa au kakuagaMshaanza fitinaa
Mnaacha kujadili mambo yenu najadili watoto wa jrani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mjumbe unaenda kutushtaki nini mke mwee
Nmeiona mke mweee mathreesome mapema kbsaUmeisoma story aliyoleta mondray
SawaNdiooo
Sawa mke mweee atuleteeSanaaa jaman baba d ana huruma sana tena kama hamna nguo za kuwabadilisha mwambieni atawatumia jaman
Hatimae umerudi,hbr ya kupoteaNashika miuuuu
Aisee makapuku mko poa ,mi mzima tu hofu na mshaka ni nyinyi mlio mbali na upeo Wa macho yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ujue mpaka Leo hujanambia maana ya hiyo shubamitiIsidingo inaendelea najua usawa wa anko hali ngumu viti virefu havikarikiii ...na mm kwa nini sikupotezee mda wakooo.....Shubaaaaamiiiitiiiii twende sawaaaaa
Bora umeionaMaswali gani hayo jaman mondray we ukijijua unaweka story we tupia tu mpaka mwisho sio maswali ila story yako inaonekana ina mambo sana ya kikubwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mama viporoo...mtalaka wa binamu
Huyu nae viporo vingine uwe unaviacha lohMimi
Umewasha baamedi na yule nesi
Tutumieni picha za watoto kwanza tuwaone ili tujue size zaoSawa mke mweee atuletee
Katekwaaa