Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Najua Baba D alivyo ebu weka hiyo nyimbo kwanza kama ina video yakeYukojeee swty
Najua Baba D alivyo ebu weka hiyo nyimbo kwanza kama ina video yakeYukojeee swty
Nakujua ujue vizuri kuliko yeyote humu labda t na mimi tuNiko poa ujue
Tunafurahi kusikia hivyoVizuriiii
Mr T yupo salama kabisaaa soon tutakuwa naee
Ili nilie au... Asante mwayaBaba D naomba weka hii nyimbo ya Martha Mwaipaja imfikie sakayo wangu inaitwa Wewe ni Baba [emoji120]
Wewe mm si nipooTunafurahi kusikia hivyo
AiseeeeNakujua ujue vizuri kuliko yeyote humu labda t na mimi tu
Mswati kwenye ubora wakoCurious gal Ukuje hukuu
Na sitaki ulie kabisaIli nilie au... Asante mwaya
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Baba D me sijataja mtu ujue Bitoz hana mke na husna je aliyesahau handbag
Upo Baba D jamanWewe mm si nipoo
NimeshafikaCurious gal Ukuje hukuu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Ahahha na mie nimemwandika pia yupo kwa list ya wabaya wangu
Nilisema mumnunulie na bandoBinamu yangu mimi apa na baba d wangu ukuje jaman tumekumiss tu
Naomba hizi nyimbo jaman service ya fally ipupa na pana ya tekno
[emoji15]Kafumaniwaaa
Kupenda na kupendwa vyote vina raha yake ...ila vikipishana kazi inakuwa kwelii kweliii .....Najua Baba D alivyo ebu weka hiyo nyimbo kwanza kama ina video yake
Kupenda na kupendwa vyote vina raha yake ...ila vikipishana kazi inakuwa kwelii kweliii .....
Ebhu mr T rudiii sakayo anakutafutaa....etiii t johny rudi yemi anakutafuta
Ana nyota ya kitumbuaaMswati kwenye ubora wako
Hayo makaburi yalishaota majani y mnayafukuaaKwamna husna alisahau handbag kwa madenge
Ni weweNimeshafika