Makapuku Forum

Makapuku Forum

....aiseee, kumbe umeungana na aunt yangu kunichafulia cv kwa kipenzi changu, kipenda roho, switihati, apple pie, wali ndondo, uji kwa mgonjwa yaani la habibti husna muba

Uzuri keshasema msifukue makaburi na pamoja na mifupa yote iliyokabatini kwangu bado tunaloviana sana.
Hakuna niliyekuwa namuamini kwa kunitkia mema kama wewe aisee, umepatwa na shetwain gani au shaniatwain
Binamu shikamoo naomba nyimbo mie ya Martha Mwaipaja wewe ni Baba ole wako na leo usiniwekee kama jana
 
...yaaani leo sipokei salamu yako maana umenichafulia jina sana, sasa hivi naandaa wanasheria 30 waje wasafishe jina langu na kuomba fidia.

Hujambo lakini,
Binamu yangu mpenzi sio mimi kabisa hivi naanzaje me kukuchafua jamaan ni anko wako alishinda na simu yangu ndio amenipa muda si mrefu naomba tu umsamehe binamu yangu kwa niaba yangu
 
Muziki: Gospel Sunday

Naimani umekuwa na jumapili nzuri na umeshajiandaa kuikabili wiki mpya kabisa ambayo ni ya mwezi mpya. Ikiwa hujaiona siku yako ya Jumapili usihofu, unakaribia kuingia mwezini, mwezi mpya wa August ambao ni mwezi wa Simba.

Ninakusalimia Kapuku mheshimika na kama ada, jumapili tunaburudika na Gospel kwa muda baadaye tunaendelea na nyibo za watu wa mataifa.
Anaitwa Tauren Wells, burudika naye

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom