Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 464,001
Sawa mkushiNairudisha
Sawa mkushiNairudisha
AsanteeeSaa tisa njema..
Na kwakoSaa tisa njema..
Hakika kazi ni kwetu wasomajiYaaaaaah someniii
Nyanya mshumaaNyanya chungu au?
Nyanya mshumaaNyanya chungu au?
Nyanya mshumaaNyanya chungu au?
Meaning of mkushiNyanya Tamu ili ku support kilimo
Maana hiyo avatar yangu saiz ina support uhifadhi wa mazingira
Tahadhari kabla ya hatariNi yeye ndio awaogope jaman sio kila mtu akiwa nae wanawake wauaji
Siongez nenoMeaning of mkushi
M-kushi
Mkushi noun
Mkushi boy or girl who smoke marijuana
Kush doing something like smoking
Niajeee mzee wa kuachwaa
SijaonaKwa hiyo pm zangu huzioniii
Mdogo wanguDada
Wabadilishiweee pampasii bhasiiiiMmh Baba D si wenyewe wamesema wa kweli
Twenzetu NyageiNi jioni tulivu kabisa, wengine tukiwa tupo na familia zetu wengine viwanjani wengine mabandani wafugaji wenzangu.
Tufuge ili tule mazao yetu usisubiri ufugiwe utalishwa na usivyotegemea.
Mwisho tukapate habari za michezo
Na tunapendanaaa haswaaaNa wewe ndio mume wa shunie![]()