Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Gospel Sunday

Naimani umekuwa na jumapili nzuri na umeshajiandaa kuikabili wiki mpya kabisa ambayo ni ya mwezi mpya. Ikiwa hujaiona siku yako ya Jumapili usihofu, unakaribia kuingia mwezini, mwezi mpya wa August ambao ni mwezi wa Simba.

Ninakusalimia Kapuku mheshimika na kama ada, jumapili tunaburudika na Gospel kwa muda baadaye tunaendelea na nyibo za watu wa mataifa.
Anaitwa Tauren Wells, burudika naye


Asante binamu....

Heshima kwakoo
 
Muziki wa Promota

Ni Jumapili na ninakutakia jumapili njema ambayo kiukweli ni mwanzo wa juma zima la siku tano za kazi kwa wachache wtu na wengi wetu huu ni mwendelezo wa kutumika na kutumika na bora kama tungekuwa tunatumikiana ila ni kutumika kwa kwenda mbele.

Leo tuna promota (unakumbuka ile eti promota anadipu--ha ha ahahahaha, wagosi bhana miss them big time) Shunie anaturusha songi la Martha Mwaipaja. Tuburudike naye

 
Binamu yangu mpenzi sio mimi kabisa hivi naanzaje me kukuchafua jamaan ni anko wako alishinda na simu yangu ndio amenipa muda si mrefu naomba tu umsamehe binamu yangu kwa niaba yangu


Aisee, nilijua tu maana mtu wa kuniharibia jina langu hauwezi kuwa wewe, lazima atakuwa ni mjomba wangu tu. Asante yaani nilitaka kuchuma dhambi za bure kabisa bila hata kulipa.

Je, na simu ya Tumosa aliishika shululu maana naye kanipiga vijembe vya fitna sana
 
Aisee, nilijua tu maana mtu wa kuniharibia jina langu hauwezi kuwa wewe, lazima atakuwa ni mjomba wangu tu. Asante yaani nilitaka kuchuma dhambi za bure kabisa bila hata kulipa.

Je, na simu ya Tumosa aliishika shululu maana naye kanipiga vijembe vya fitna sana
Sina neno ...

Ila kumbuka ndo maana nilikwambia tumuandike kwa makapeni
 
de66353cdbc9ee03609cf3b485f697f4.jpg

Haya Mjukuu mwee jimwagemwage hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom