mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Hujambo Tumosa?Nko poa
Hujambo Tumosa?Nko poa
Karibu team fenga
Ni ndefu hatariNawaza tu hapa huyu mwanamke anaevaa nikabu anaweza kuwa dr asha baba d asante sana story ndefu mpaka raha
Haitotokea kidume kitongozwe![]()
![]()
![]()
nilijua linamo aisee shem sipo upande wako kwa hiyo avatar utatongozwa wewe majukwaani
Hahaha, nakagua kujua mamii kapitia wapiYaan huna tofauti na mpendwa wa binamu kwa kufukua makabuli shem
Shukrani mkuuView attachment 553149Tuwe na siku njema
Sawa mkuuHuwa sidownload maana simu itajaa
Kama nilivyosema huwa nazileta mbilimbili hivyo yayari 10 sitaacha hata 1 labda ambazo hazina dili tu
......
Ahsante kwa kuja mkuuNimekuja huku,
Kuwasalimu Makapuku,
Naona siku hizi wanakula Kuku,
Zile za Buku Buku,
Wanazipika Chuku Chuku.
sent by Samson Cyper
Bhas ntawekaa fupiiNi ndefu hatari
Hivi hii ya leo ni sehemu ya ngapi?Tulieeeenii acheniii nchechetooo naweza mpoteza mr x na msimjueee mpaka isidingo yetu inaishaa
Ahsante ankaliNa kufikia hapo basi sina budi kukusanya kila kilicho changu katika meza hii ya historia
Kwa udhamini mnono kabisa wa Ximena's red wine![]()
week end yako itakuwa murua ikiwa utakuwa utajipatia wine hii nzuri kabisa ambayo inapatikana katika ladha mbili sweet red na dry red ikiwa imesindikwa kwa ustadi wa hali ya juu kwa kutumia zabibu halisi....
Niite Jimena Jimenes nawatakia week end njema na msiache kunipa order sasa ili mjipatie wine hii
Hi madam Sakayo
Ya 34 mpaka 36Hivi hii ya leo ni sehemu ya ngapi?
AsanteeMuwe na siku njema