Ni DavyMorning mama Devy...umemuonaa bangii zakee lakin kwa dp

AiseeNdioo kwani wewe na neema wa tandika nan alikuwa wa kwanzaa
Ipo siku utarudi kwa shededeViporo vina raha yake
Ahsante mdauEe Bwana unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, uniokoe na mtu wa hila asiye haki
Kwa nini ninakwenda nikihuzunika adui wakinionea
Niletewe nuru yako na kweli yako ziniongoze, zinifikie kwenye mlima watakatifu na hata maskani yako
Hivyo nitakwenda madhabahuni kwa Mungu, kwa Mungu aliye furaha yangu na shangwe yangu, nitakusifu kwa kinubi, Ee Mungu, Mungu wangu, nafsi yangu, kwa nini kuinama na kufadhaika ndani yangu?
Umtumaini Mungu, kwa maana nitakuja kumsifu aliye afya na uso wangu, Mungu wangu![]()
ZABURI:43:1:5
Mshkuruni Mungu sana kwa kuwaamsha salama kama kuna wagonjwa Mungu awaponye mbarikiwe sana muwe na asubuhi iliyo njema![]()
Nzuri mvuvi wa kambaleHabari za week end
Mabibi na mabwana
Wake kwa waume
Wakubwa kwa wadogo
Nafikiri mmeamka salama
Niwatakie week end njema
.....
Morning tooMorning all
Na wewe piaHabari za week end
Mabibi na mabwana
Wake kwa waume
Wakubwa kwa wadogo
Nafikiri mmeamka salama
Niwatakie week end njema
.....
![]()
![]()
![]()
nilijua linamo aisee shem sipo upande wako kwa hiyo avatar utatongozwa wewe majukwaani
Uko poa?Morning too
Babu Wassira ni mfano tu wa ving'ang'anizi wa madaraka
Niko poa shemelaUko poa?
Gazeti la nipashe limemuita mhengaBabu Wassira ni mfano tu wa ving'ang'anizi wa madaraka
Kasinzia bungeni kama miaka 20 hajaridhika
Halafu vijana mjiajiri
....
Life.....
Asante kwa Hadithi UF nk ankali
Ahsante ndauView attachment 553149Tuwe na siku njema
Asante sana ankali kwa magazetiTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa mfugaji wa mabibo
DevyNi Davy
David
Au Daudi![]()
![]()
![]()
![]()