Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia

1904 - J.R.D. Tata anazaliwa.
Ni mfanyabiashara mashuhuri wa Kifaransa aliyeanzisha kampuni ya magari ya Tata.
Born into the elite class Parsi family of India, the Tata family, he was the son of notable businessman Ratanji Dadabhoy Tata and Suzanne Brière, the first woman in India to drive a car. Muhammad Ali Jinnah, the founder of Pakistan, was married to Tata's niece, Rattanbai Petit. Tata became the first licensed pilot in India, in 1929. He is best known for being the founder of several industries under the Tata Group, including Tata Consultancy Services, Tata Motors, Titan Industries, Tata Tea, Voltas and Air India. In

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kufikia hapo basi sina budi kukusanya kila kilicho changu katika meza hii ya historia
Kwa udhamini mnono kabisa wa Ximena's red wine week end yako itakuwa murua ikiwa utakuwa utajipatia wine hii nzuri kabisa ambayo inapatikana katika ladha mbili sweet red na dry red ikiwa imesindikwa kwa ustadi wa hali ya juu kwa kutumia zabibu halisi....

Niite Jimena Jimenes nawatakia week end njema na msiache kunipa order sasa ili mjipatie wine hii
 
Asante cuzoo kwa historia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom