shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Waliona mbali sana aiseena ukitaka kuiona ndoano mpaka uingie aisee wahenga waliona mbali sana na misemo yao
Waliona mbali sana aiseena ukitaka kuiona ndoano mpaka uingie aisee wahenga waliona mbali sana na misemo yao
Mama JJ karibuAaaah huyu mr.x mbona antusumbua akili hivi,
Hbr ya asubuhi wapendwa hope mko wazima
Morning swtheartKapuku family morning
Leo katika Historia
1981 - Fernando Alonso anazaliwa.
Ni mwendesha magari mashuhuri toka nchini Spain.
Ina maana sawa na misemo yao shemelaWaliona mbali sana aisee
Safi mke mwee jamanHbr ya asubuhi mke mweee
Ila kwa umeme Mark dean kiboko aisee![]()
![]()
![]()
Alifahamika kwa kutembeza umeme
....
Acha tu huwa nakunywaga juice yakeFahari ya Tanga hiyo![]()
![]()
Nmekumic pia mke mweee hbr ya uzimaFamilia yangu haijambo kabisa shemela sijui huko wakina jj na mama yao jaman mwambie mke mwee nimemmiss jaman
Shemela umechekesha sana aisee, nusura nipate majangaHalaf usimzeeshe Baba D wangu mke mwee hiyo shikamoo haelewani nayo kabisa
Hata ikiwa miaka kumi tutaisoma tu shemelaOoooooh leoo imekuwa ndefuuu....make badooo sana mpaka tufike mwakan hii ni isidingo
Morning my loveMorning swtheart
Maana yake ni sawaIna maana sawa na misemo yao shemela
Shemeji za siku
Leo katika Historia
1984 - Wilson Palicios anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Tottenham, Wigan na Stoke city.
Salama mke mwee jaman za weweNmekumic pia mke mweee hbr ya uzima