Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] Ee Bwana unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, uniokoe na mtu wa hila asiye haki

Kwa nini ninakwenda nikihuzunika adui wakinionea

Niletewe nuru yako na kweli yako ziniongoze, zinifikie kwenye mlima watakatifu na hata maskani yako

Hivyo nitakwenda madhabahuni kwa Mungu, kwa Mungu aliye furaha yangu na shangwe yangu, nitakusifu kwa kinubi, Ee Mungu, Mungu wangu, nafsi yangu, kwa nini kuinama na kufadhaika ndani yangu?

Umtumaini Mungu, kwa maana nitakuja kumsifu aliye afya na uso wangu, Mungu wangu [emoji524]

ZABURI:43:1:5
Mshkuruni Mungu sana kwa kuwaamsha salama kama kuna wagonjwa Mungu awaponye mbarikiwe sana muwe na asubuhi iliyo njema [emoji120]
 
Amen
 
Mkuu shululu nimeona moja ya vyanzo vyako vya mapato nakupa [emoji109] uwekezaji mzuri
afe0a8d8ac954456ae32747a20f20111.jpg

USIKU MWEMA

Siutaki ulinzi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nilijua linamo aisee shem sipo upande wako kwa hiyo avatar utatongozwa wewe majukwaani
 
Back
Top Bottom