Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ukisikia beki kisiki ni wewe shemelaSasa hao portable unakuwaga nao wapi jamaan shem
Watu wanafaidi eheeKumbe huyu dada wa93 aisee
Mimi ni portable tu, vibonge siwezishemela hueleweki aisee we vibongee twende viportable twende
Muziki: Uji Sio Supu ya Ugali
Kama hujawahi kujua hili lijue leo maana hata mimi silijui, kumbe siku zina harufu na kiukweli harufu ya Ijumaa ni tofauti na siku nyingine kama Jumatatu. Ijumaa huwa inanukia kama uvumba na manemane na ina ladha ya emebe mawazo huku jumatatu huwa na harufu ya pilipili kichaa na ndo maana hakuna mtoko wa Jumatatu, sijui. ninakusalimia Kapuku muheshimika, u khali gani! niko poa sana na furahiday ndo hii, take it easy and don't work hard kesho. Kwa wale wenye zamu ya kutumika kimwili basi weekend ndo hii, kazaneni sana maana mwili usipotumika utakuwa bored.
Kwanza niseme tu, maneno spesho kwa husna muba ambaye kiukweli sihitaji kukufikiria ili nijisikie vizuri. Kila wakati unanifanya, sema nifanye nini! Kuna mtu alisimamisha jua, ukitaka nisimamishe saa nitasimamisha, good to see you buddy. Msidhani nimesahau kumsalimia Tumosa kisa tu nimesoma commeny ya shululu aliyetuhabarisha kwa magazeti. Niseme nini juu yako Shunie kwa kutupa sala na ukamuamsha mjomba wangu lee empire akatuletea BBC, hadithi zilizomfanya Jimena atukumbushe kutosahau historia. Nitakutaja tena Husna kwa simulizi za Che, mtaasisi mwenzangu Nyagei ukatuspotisha na mtaalam mwenyewe Bitoz kwa kubwa kumi, asanteni sana wadau.
Mkushi wa kusi , Clkey , Sakayo , BlessedHope , Transcend ,eden kimario , dingimtoto , Mondray mahondaw ,Madame S , mzeewakungoa koncho77 Bailly5 na wewe unayesoma hapa hata kama sijakutaja kwa jina, sijakusahau maana wewe ni tmu muhimu sana hapa jukwaani. Unalifanya Jukwaa hili lipendeze na unapozidi kuulamba basi nasi tunajua kabisa uji sio supu ya ugali.
Muziki sasa, kuna wakati unaweza kujiuliza mbona anayerudia kaharibu, well zipo baadhi ya nyimbo waliozirudia (cover) zimkuwa nzuri kuliko original. Unamjua Cindy Lauper na TAT (time after time), kama umemjua mwaka 2013 alipoalikwa kwenye kuapishwa kwa BO basi huyu alitamba miaka ya 80s na wimbo wake umerudiwa na Daynea Deacon mjamaika huyu katika mahadhi ya reggae.
Burudika
![]()
Chaguo la wadhamini na wapendanao litakujia baada ya dakika 15
Safi kabisa
Mimi ni portable tu, vibonge siwezi

Hahaha mbona vibonge hawakuishi mdomoni shemela
Kumbe ebu aje kwanza ajibuAnamaanisha mke mwenzio![]()

Ujue mpendwa wa binamu navuta tu picha ya mama ashura ni bonge sana halaf maziwa hayooo nyuma pasi kiuno na mganga vyote havijulikani woiiii
1/Noni Zondi![]()
Amezaliwa Februari 23 mwaka 1973 huko kwa Rais mkware na taifa kinara kwa Virusi Vya Ukimwi duniani![]()
Huyu ni celeb wa huko Afrika Kusini
Anaishi pia jijini London
Hujishughulisha na mambo mengi ya Sanaa ikiwepo muziki na vipindi vya luninga
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane Jumatatu
Mwisho
..............
Ahahahh binamu mpendwa wako ndio kamtaja mama ashura ujue sio mie makubaliano yetu yapo pale pale....kuna ufundi hata hayo unayotaka kuyaona huyahitaji.
halafu endelea tu kukiuka makubaliano yetu, mama Ashura katokea wapi sasa hapa wakati unajua kabisa lee empire ndo mmiliki mtekelezaji
Obe anajua kunywa supu?'![]()
![]()
![]()
![]()
shemela hueleweki aisee we vibongee twende viportable twende
Woiiiii wakukutafunia nani sasa binamu...nina mapengo, labda nitafuniwe kwanza ndo naweza kunywa , itafunwe halafu ipozwe. Na toothpick isisahauliwe, maana unaweza kuanza kuinywa kumbe kuna vilevivuzivuzi havikusafishwa vizuri.
Supu ya kongolo ni nzuri sana ila isafishwe vizuri vile vimanyoya (vivuzivuzi)huwa vinakera