Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Supu zinaendelea4/Juliet Ibrahim]![]()
Alizaliwa Machi 3 mwaka 1986 huko kwa akina Michael Essien na Andre Ayew![]()
Huyu ni binti wa Kighana anayeonekana zaidi kwenye muvi za Kinigeria
Ameigiza kwenye
4 Play,..
30 Days In Atlanta
Na filamu zingine kemkem
Ana madili kibao ya kueleweka hivyo siyo kama yule staa wa bongo anayeazima hadi nguo za ndani
.........