Makapuku Forum

Makapuku Forum

Heshima kwako kapuku mwenzangu
Mtaani kwetu Jana tanesco walifanya yao na HV vitecno vyetu vya kuchaji kila siku basi ilikuwa majanga tu
Km kawaida mi sio mzee Wa kuskip page so ukiona naquote SMS ya mwaka juzi ukae kimya tu

OK muwe na asubuhi njema wote especially binamu Wa Lee mpendwa/mpenzi Wa Mimi DJ Wa makapuku Mimi penda sana wewe mutu kwakweli
Sasa nimeelewa
 
191dae4685ede7b4d978400c21961edf.jpg
Aisee
 
8/Toolz Oniru
00619984ba1200717c31ad98bb354b56.jpg

36c6f54753ddbcbfb70ce56ff411602d.jpg
f408cac5ac3e680a1de79da478515ea6.jpg

Jina lake halisi ni Tolu Oniru
Amezaliwa Julai 6 mwaka 1982
<Ni mwendeshaji wa vipindi vya redio na luninga machachari huko nchini Nigeria yaani ni kama Salama Jabir wa Planet Bongo anavyokimbiza huku kwa Wadanganyika
Ana elimu ya Shahada ya kwanza(Degree in Business and Mass Communication}
Hivyo vipindi anavyoviendesha habahatishi

............
 
Nafikiri kuna tangazo nimeona
 
7/Vee S Beib
4769057277feff574962e889035fbfff.jpg
6dd1718b0a1a75ae386dc6a8350f189c.jpg
<
bd38199d91fc095519625155d7d92209.jpg

Amezaliwa Septemba 30 mwaka 1989
Achana na Vee Money....ni binti wa Kikenya ambaye jina lake halisi ni Vera Sidika
Ni mpendezeshaji wa video za wanamuziki mbalimbali Video vixien
Anaonekana zaidi kwenye video za kundi la hip hop huko Kenya liitwalo P-Unit

............
 
6/Daniella Okeke
fa6edcef22129a6822b76a17eb8e20e7.jpg
ce0c3714c19aebefe781f65ef52b2243.jpg
02f0bead77bcf09ccd64b3ae40248fa4.jpg
Amezaliwa Machi 26 mwaka 1987 huko kwa Muhammadu Buhari
Huyu ni binti wa Kinigeria
Ni msanii chipukizi wa Nollywood anayewatetemesha akina Rita Dominic alianza na spid kama ya Jennifer wa Kanumba
bb8afb601136f7f5b9e97499eefa2e08.jpg

Filamu inayomtambulisha ni Lagos Cougars ila pia kuna Luke Of Liers

..............
Zitaendelea baadaye
 
Tatizo wamekomaa sanaa hao

Similar Discussions

Back
Top Bottom