Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,525
- 5,751
Morning bro!Morning
Morning bro!Morning
Morning mkuuMorning bro!
NzuriHabari za muda huu
Kazi ni nzuri.. Endeleeni kusonga mbele katika mapambano ya maisha hapa dunianiNzuri
Kweliii umenenaa vyemaaaKazi ni nzuri.. Endeleeni kusonga mbele katika mapambano ya maisha hapa duniani
Lazima upambane kimaisha.. Maana katika majukumu wewe ndo kiooKweliii umenenaa vyemaaa
Be blessedYaaaah more than fine
Morning shemejiiii languuu pendwaaa mtalaka wa shedy ....Heshima kwako kapuku mwenzangu
Mtaani kwetu Jana tanesco walifanya yao na HV vitecno vyetu vya kuchaji kila siku basi ilikuwa majanga tu
Km kawaida mi sio mzee Wa kuskip page so ukiona naquote SMS ya mwaka juzi ukae kimya tu
OK muwe na asubuhi njema wote especially binamu Wa Lee mpendwa/mpenzi Wa Mimi DJ Wa makapuku Mimi penda sana wewe mutu kwakweli
AminaaaLazima upambane kimaisha.. Maana katika majukumu wewe ndo kioo
Husna mzimaHeshima kwako kapuku mwenzangu
Mtaani kwetu Jana tanesco walifanya yao na HV vitecno vyetu vya kuchaji kila siku basi ilikuwa majanga tu
Km kawaida mi sio mzee Wa kuskip page so ukiona naquote SMS ya mwaka juzi ukae kimya tu
OK muwe na asubuhi njema wote especially binamu Wa Lee mpendwa/mpenzi Wa Mimi DJ Wa makapuku Mimi penda sana wewe mutu kwakweli
Salama..!Wakuu mmetokaje kwenye vitanda vyenu
UTAFITI HEWA
Fikiri kabla hujafikiriwa
Sawaa bwana mtafitiWakuu mmetokaje kwenye vitanda vyenu
UTAFITI HEWA
Fikiri kabla hujafikiriwa
You tooBe blessed
Salama mkuu habar yakoSalama..!
Pamoja mkuuSawaa bwana mtafiti
Tulikuwa tunakesha kila New Year pale Mabibo kwa Bibi Cheche na Kigogo au Manzese ila siku hizi imekuwa marufuku
What a stupidity ? maisha magumu halafu tusio na uwezo wa kwenda Night Club hawataki tuburudike kitaa
Hata kujinywea viroba imekuwa mwiko na mchana huruhusiwi kunywa pombe
Bangi nayo imefanywa dawa ya kulevya
WTF
![]()
![]()
......
poleee tuliza munkariJana nimepishana na mamkubwa ukimwona mwambie mi nimesepa nyumbaniSawaa bwana mtafiti