Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Mi ndio nimeanza janaWalafi tu nyie
Acheni ubishoo fugeni
![]()
![]()
![]()
....
Nitakuja kuchukua kwako wakizaliana zaidiWalafi tu nyie
Acheni ubishoo fugeni
![]()
![]()
![]()
....

HayaaaNimesema tu sina hakika na maneno yangu
Nitakuja kuchukua kwako wakizaliana zaidi![]()
![]()
hakupiiii
TushakaribiaTOP TEN
Week end huanza Ijumaa hivyo leo sitajadili siasa wala uchumi au mambo ya elimu ni burudani,udaku au starehe kama kawa![]()
Hapa Bongo hakuna asiyemjua Giggy Money(Muuza Supu) ana mzigo wa nguvu.....
Sasa leo tuwaangalie wale wasanii maarufu kumi wanaosifika kwa kujazia
Hapa hakuna akina Masogange kwenye hii list maana wanaongelewa ambao ni maarufu zaidi hivyo kigezo cha kwanza ni umaarufu wao![]()
Karibuni
..............
Mi ndio nimeanza jana
Nitakuja kuchukua kwako wakizaliana zaidi![]()
![]()
Nikiona km vinalewalewa tu napiga kisu nakunywa supu![]()
Mjiandae na stress za vifo vya mdondo
![]()
![]()
![]()
....
Say yesHayaaa
Huyo muhenga hivyo alikuwa muongo muongo so hatutakiwi kumuamini
Are you understand me?
Say "yes"
Anauza supu tsh ngapi?TOP TEN
Week end huanza Ijumaa hivyo leo sitajadili siasa wala uchumi au mambo ya elimu ni burudani,udaku au starehe kama kawa![]()
Hapa Bongo hakuna asiyemjua Giggy Money(Muuza Supu) ana mzigo wa nguvu.....
Sasa leo tuwaangalie wale wasanii maarufu kumi wanaosifika kwa kujazia
Hapa hakuna akina Masogange kwenye hii list maana wanaongelewa ambao ni maarufu zaidi hivyo kigezo cha kwanza ni umaarufu wao![]()
Karibuni
..............

Kuku 8![]()
Mjiandae na stress za vifo vya mdondo
![]()
![]()
![]()
....
Kweli leo ni mwendo wa supu10/Tracy Obonna![]()
Sijajua tarehe wala mwaka wake wa kuzaliwa![]()
Huyu ni muigizaji wa Nollywood huko nchini Nigeria ambaye pia huishi huko kwa Trump
Ana elimu ya Shahada ya Uzamili(Masters in Business and Finance)
Ni Mkurugenzi Mtendaji(CEO) wa kampuni ya Sediore Cosmetics
Tracy hujishughulisha pia na uanamitind
................
Eti jukwaa la mwisho ni lipi hilo?Nikiona km vinalewalewa tu napiga kisu nakunywa supu
Ndo mambo ya week endKweli leo ni mwendo wa supu
9/Omotola Jalade Ekeinde![]()
Alizaliwa Februari 7 mwaka 1978![]()
Huyu pia ni mcheza filamu za Kinigeria huko Nollywood
Siyo tu mcheza filamu bali pia ni nyota/superstaa huwezi mlinganisha na akina Johari wa Bongo
Baadhi ya muvi alichocheza na kutamba vilivyo ni
Ije,
A Private Storm,
Mortal Inheritance
& Last Fight to Abuja
Ana mpunga na biashara za kueleweka
............
Wapi Mndali ndanyelakakomuWakuu mmetokaje kwenye vitanda vyenu
UTAFITI HEWA
Fikiri kabla hujafikiriwa