Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mi wala sihangaiki hata likidoda sipati hasara
Kama sina cha kupost huwa natulia tu na kufanya mambo mengine
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mi wala sihangaiki hata likidoda sipati hasara
Kama sina cha kupost huwa natulia tu na kufanya mambo mengine
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Asante Bitoz kwa picha za leo kwenye historiaAhsante mdau
Tukutane baadaye
Uwe na siku njema
.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]viporo kiboko yake mpendwa wa binamu haachi kitu
Nishavifyekaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sidhani kama ataviweza vyote maana
Vyote mpaka vya juzi [emoji15]Nishavifyekaa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Nafikiri juzi hukuwepo
Tulikibaliana kutopiga umbea wala majungu
Yaani kumzungumzia mtu/watu fulani wala thread fulani badala yake tunafanya yanayotuhusu ili kuepusha kukwaza watu maana maisha yenyewe mafupi
Pia tutaonekana hatuna azi za kufanya
Tupambane na ali zetu
Nikutakie siku njema
.........
[emoji106]Asante mpendwa wa binamu
Amen[emoji524] Nimekukimbilia wewe Bwana nisiabike milele kwa haki yako uniponye
Unitegee sikio lako uniokoe hima uwe kwangu mwamba wa nguvu , nyumba yenye maboma ya kuniokoa
Ndiwe genge langu na ngome yangu kwa ajili ya jina lako uniongoze unichunge
Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri maana wewe ndiwe ngome yangu
Mikononi mwako naiweka roho yangu umenikomboa , Ee Bwana Mungu wa kweli [emoji524]
ZABURI:31:1:5
Mbarikiwe sana muwe na asubuhi iliyo njema [emoji120]
Nawe piaAhsanteni kwa maombi
Niwatakie Siku njema
....
Na wanaume wenye anaochukua hawaelekiSijui shemela, ila hilo Gazeti linasema hivi, yeye hakai na wanaume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nishavimaliza banaaMama wa viporo kwenye ubora wako aisee mpaka utufikie kesho kutwa hiyo
[emoji1] [emoji1] anatia huruma mwanamke mwezetuItakuwa ni hiyo harufu shemela mwanaume gani atavumilia inataka moyo sana ujue
Poa INA sehemu 4 lakiniNaomba jiona umalizie ile ya Che Guevarra
Yaani naisubiri nimalizie
....
Yaan ni kumuombea tu masikini[emoji1] [emoji1] anatia huruma mwanamke mwezetu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] naskia nimekuwa captainVyote mpaka vya juzi [emoji15]
Ila angetulia atafute tiba kwanzaYaan ni kumuombea tu masikini
Timu ya netball[emoji1] [emoji1] [emoji1] naskia nimekuwa captain
Eti mpendwa wangu anamiliki timu
Hata haijulikani nini shidaIla angetulia atafute tiba kwanza
[emoji1] [emoji1] [emoji1] atawagonga wachezaji woteTimu ya netball