HISTORIA YA CHE GUEVARA:
SEHEMU YA 02:
Baada ya kutoweka kwake baadae ilikuja kugundulika Kua alikua Congo akipigana na LAURENT KABILA dhidi ya wabelgiji.
Hata hivyo hakua peke yake alishirikiana na baadhi ya wapiganaji wa Cuba waliokua Africa. Vita ambayo ilishindikana kwn wabelgiji walikua vzr pamoja na kuangushwa na vibaraka wa Congo
Hali hiyo ilifanya Che akimbilie Tanzania na kukaa maeneo ya karibu na ziwa Tanganyika na baadae akahamia Dare es salam huku akiishi kw kujificha.
Baadae mwaka 1966 alirejea Cuba kw siri kumuunga mkono rafiki yake Fidel Castro na pia kumwona mke wake pamoja na watoto wake . Aliwaachia barua ambayo aliwataka waisome siku baada ya kifo chake. (Alihisi huko alikotaka kwenda sio salama).
Baadae tarehe 3/11/1966 alisafili kutoka Montevideo kwenda Bolivia ktk mji wa LA PAZ kuendekeza harakati zake za kuomba inchi za america ya kusini kutoka ktk mikono ya kibepari.
..Aliingia Bolivia km mfanyabiashara mwenye asiri ya URUGUAY na kutumia jina la uongo la ADOLFO MENA GONZALEZ na hii ilipelekea asijulikane kwasababu alinyoa upara, kuweka mvi za bandia na kunyoa ndevu zake zote.
. Aliweka kambi na baadhi ya wapiganaji wenzake aliowakuta Bolivia maeneo ya milima ya montane dry forest. huko aliunada kikundi kilichoitwa NATIONAL LIBERATION ARMY OF BOLIVIA.
Mnamo mwaka 1967, makachero wa Bolivia wakisaidiwa na CIA ambae akiwakilisha ndugu FELIX RODRIGUEZ waligundua maficho ya Che na kundi lake huko milimani BOLIVIA.
Asubuhi ya October 8 mwaka 1967 wanajeshi takribani 1,800 walizingira maeneo yote ya mlima waliokua wamejificha wakina Che GUEAVARA.
vita ikalindima masaa kadhaa na che alipigwa RISASI za miguu na kukamatwa na wenzake.
Ikumbukwe che alikua na jeshi Soho sana kwasababu raia wengi walikataa kujiunga na jeshi na kuogopa kufa. Waliona bora waendelee kunyonywa wakiwa hai kuliko wakafe wakose vyote uhai na haki yao. Basi hali hiyo ilipelekea wale raia MASHIKAWADU kupeleka taarifa serikalini eti wamelazimishwa kujiunga na kikundi cha Che GUAVARA.
Inasemekana baada ya kuzidiwa na mapigano Yale, Che alisema "" usifyatue RISASI mi ni Che GUEAVARA nina thamani kubwa Kua hai kuliko kunikamata nikiwa nimekufa. ...
ITAENDELEA KM ILIVYOPATIKANA MITANDAONI.......
NB: Huyu jamaa tumekua tukivaa T-shirt zake zenye picha inayomuonesha askari alievaa kofia nyekundu na kombati za jeshi.........