Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
SimbamweneeeeAsante sana mpendwa wa binamu
SimbamweneeeeAsante sana mpendwa wa binamu
Leo katika Historia
1981 - Michael Carrick anazaliwa. Ni kiungo wa Man Utd. Moja kati ya wapiga pasi hodari wa Kiingereza.
Ni upuuzi wa kiwango cha lami kwa mimi.Kwa mujibu wa GPL Lucy Komba anajivunia mwanae kujua kiingereza vizuri ndani ya muda mfupi na kusahau Kiswahili, Aidha Lucy amefurahi mwanae anapata elimu nzuri nchini Denmark na kuachana na tabia za kiswazi toka Bongo...
"Kitambo nawaza malezi bora kwa mwanangu, sikupenda awe na tabia za Kibongo japo ni Mbongo, hivi sasa siyo yeye kabisa ameshasahau Kiswahili siku nyingi maana mtoto ananasa kirahisi, nimefurahi mno" alinukuliwa star huyo aliyesaidia wasanii chipukizi wengiYAANI UNAFURAHIA MWANAO KUTOJUA LUGHA YAKO??!!!!!!![]()
anyway kila MTU apambane na hali yake
Mi nahisi atasema mrithi wake ni mkeweDoooh hawa watu wanataka kutawala milele zimbabwe wanataka kurithiana kama ufalme

Bado unabaki na jina lako pia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Manga bwana! Kutoka mama emoji hadi kuwa mama viporo![]()
![]()
![]()
By the way mi sijambo hofu kwako wewe mzee Wa michapio
SaanaaMtoto wake kakua
Ahsante ankali wake shululuNawashukuru wadhamini wangu ambao ni Kapuku Forum, tuonane kesho.
Niite Jimena Jimenes
T G I F
Byeee...
Ayaaa nipoKwema mamy
Kwema tu
Tumejaa teleKapukus mpo?
Kwa wenzio km huyu Lucy ni ufahaliNi upuuzi wa kiwango cha lami kwa mimi.

Moja wa marais wenye vitukoLeo katika Historia
1965 - Rais wa Marekani Lyndon B. Johnson anatoa amri ya kuongeza idadi ya askari wake katika vita ya Vietnam kutoka 75,000 mpaka 125,000.
Pamoja na yote hayo, Marekani ilishindwa vibaya sana vita hiyo ambayo ilipigwa kwenye misitu minene huko Vietnam.
Siku hz unapunguza kwa kweliBado unabaki na jina lako pia
Hivi bado nachapia eeh?
Kwa hisani ya mdhamini wangu wa mwezi kansiime. ..tuwe na siku njema....
Wapo wengi huyo kajitangaza ni haki yetu kuendelea kutawaliwa kwa akili hiziKwa wenzio km huyu Lucy ni ufahali![]()
![]()
WolperNani huyoo
Sio kuacha ikabaki ulimi kuteleza jamani dahSiku hz unapunguza kwa kweli
Na bongo inaingia mdogomdogoDoooh hawa watu wanataka kutawala milele zimbabwe wanataka kurithiana kama ufalme
Shukrani shululu wa Tumosa kwa magazeti mubashara
Nzuri kijana, za kupoteaHabarini za mchana wapendwa