Makapuku Forum

Makapuku Forum

HISTORIA YA CHE GUEAVARA:

SEHEMU YA TATU:

che Guevara alifungwa kamba na wenzake akakamatwa na kupelekwa kijiji cha LA HIGUERA ambapo baada ya raisi wa BOLIVIA ndugu Rene Barrientos kusikia amekamatwa alitoa amri auawe haraka sana. Wakati huo huo CIA walimtaka apelekwe panama akahojiwe kw kina na salama yake ili asiuawe ilikua apepelekwe MAREKANI japo haikutokea.

Siku moja kabla ya kuuawa alichukuliwq na baadhi ya wanajeshi na kupiga picha ya kumbukumbu na kesho yake ambayo ilikua tarehe 9/10/1967. Aliuawa na askari mmoja aliejitolea kumpiga RISASI sita za kifua na kufa palepale . na huo ndo ukawa mwisho wake akaiaga Dunia akiwa na miaka 39.

Kabla hajapigwa RISASI na askari huyo aliongea maneno yafuatayo.....

Najua umekuja kuniua, nipige RISASI mtu mwoga ww!!!. na ufahamu utakua umeua mwanaume kamili".

Baada ya kifo chake , Guevara alichukuliwa km nguzo ya vuguvugu la kimapinduzi ya jisoshalisti Duniani. picha yake na kofia aina ya BARET aliyopenda kuivaa vimekua km alama za mapinduzi DUNIANI.

....CHE GUEAVARA ktk maisha yake yote alifanikiwa Kua na wake wawili na watoto watano. Ambavyo mke wa kwanza aliitwa HILDA GADEA na alizaanae mtoto mmoja wa kike alieitwa HILFA GUEAVARA aliezaliwa Mnamo mwaka 1956 na kufariki.

Walikua ktk mahusiano kuanzia (1956-1959) waliachana baada ya HILDA kugundua bwana che anatoka na mwanamke mwingine . Hilda aliomba taraka mwenyewe kw wivu wa mapenzi na alikuja kufariki 1974. Miaka 52. hapo mke wa pili wa che Guevara alikuja Kua mchepuko wake huyo.

Mke wake wa pili yaani yule aliekua mchepuko hapo mwanzo aliitwa ALEIDA MARCH kuanzia 1959 mpaka che GUEAVARA anauawa. Wakiwa wamezaa watoto wanne waitwao ALEIDA(1960)CAMILA(1962), CELIA(1963)na ERNESTO(1965).

kuna baadhi ya source zinasema anawatoto zaidi ya watano ambao wengine wanadai wapo Congo na Tanzania .

Ambacho hicho kitu hakina uhakika labda angekuwepo yeye angetuambia ukweli. Ndomana inajulikana alikua anawatoto watano tuu, hao wanaojitokeza kwamba wanawatoto wake watakuja hata siku mie nikifa ila kw sasa Nina LOVENESS pekee.

Kwa ushauri muulize mama yako inawezekana ukawa ww unaesoma hapa ndie mtoto wake . ukibahatika Kua ww muulize mama yako alimpende a nn huyu shujaa Che GUEAVARA kipenzi cha watu Duniani na mpaka kesho usipovaa tishet yenye picha yake utaiona hata Dukani au hapa chini ukimaliza kusoma stori hii.

MWISHO ........kizuri hakidumu Mara zote hupingwa na wenye maslahi yao ..

.
a1146f4e889c99df6a51bd6914496c1e.jpg
Ahsante mpendwa wa mtaasisi
 
TUKIO HALISI LA WIZI LILILOISHANGAZA DUNIA

sehemu ya 01:

Ilikua tarehe 24/11/1971, ktk uwanja Wa ndege Wa kimataifa Wa mji wa Portland. Jamaa mmoja alievalia suti nyeusi na koti lefu jeusi kw juu akiwa amebeba brief case nyeusi, alifika ktk counter ya KAMPUNI ya ndege ya NORTHWEST Orient Airliner na akatoa fedha dola 20 kununua tiketi ya ndege fight 305 kwenda mjini Seattle.

Safari hiyo ilikua inachukua dakika 30 tuu mpaka kufika. Jamaa huyu alijitambulisha Dan Cooper.

Baada ya kuingia akakaa kwnye siti namba 18E na baadae 15D, ilipofika mida ya SAA 8:50 mchana ndege iliruka na Mr cooper akawasha sigara na kuagiza soda.

Siti ambayo alikaa huyu kiumbe ilikua siti ya nyuma kabisaa na alikaa karibu kabisa na siti ya muhudumu Wa kike Wa ndege aliejulikana kw jina la FLORENCE SCHAFFENER.

Baada ya dakika chache cooper alitoa kikaratasi mfukoni kilichochapwa kw unadhifu mkubwa na maandishi yakiwa yameandikwa kw herufi kubwa tuu. Alimpatia yule binti kile kikaratasi.

Yule muhudumu Bi Schaffner baada ya kukipokea kile kikaratasi hakukitilia maanani maana alishawazoea abilia wengi Wa kiume kuwatongoza au kuwapa namba za simu kw lengo la kuwataka hapo baadae. (Mambo ya tamaa)

Yule muhudumu akachukulia poa na kuendelea na mambo yake lkn kile kikaratasi akiwa anacho kwenye mkoba.
Cooper baada ya kuona hivyo aliinama na kumnong'oneza " Miss you would better take a look at that note. I have a Bomb "

Maana yake alimwambia ("Bibie ni vema ungekisoma hicho kikaratasi Nina bomu."
Baada ya kueleza hivyo kimya kimya akaanza kumuamuru muhudumu Huyo akae karibu nae.

Alianza kumpa maagizo na kumtia hofu na jambajamba alitaka kumuhakikishia Kua alichokiandika ni kweli.

Alichukua briefcase yake na akaifungua kidogo tu ili muhudumu aangalie, alipoangalia kweli aliona cylinders 8, NNE zikiwa chini na NNE zikiwa juu na zote zikiwa zimeunganishwa kw nyaya nyekundu ambazo nazo zilienda kuunganika kwny Betri yenye rangi nyekundu.

Muhudumu baada ya kujionea kw macho aliamini bwana Cooper anabom. kumbuka wote walikua ndani ya ndege na ilikua inaelea mawinguni mwendo mdundo.

Cooper ambae ndie stelingi wa hadithi yetu ya leo alianza kumpa tena maagizo yule muhudumu akaongee na marubani kw kupitia intercom kuwa akaamuru wawasiliane na uwanja wa ndege wa Settle na waelezwe juu ya ndege kutekwa na yupo tayari kulipua ndege na abiria wote waende na maji na yeye akiwemo.

Hapo ikawa utata maana ndani ya ndege kulikua na marubani tegemewa wawili na injinia wa ndege nae alikua anasafili siku hiyo. jamaa hili sijui liliotea vp maana kumpoteza injinia na marubani Wa ndege tena wenyeujuzi na wawili haikua swala la mchezomchezo.

Je wajua ilikuaje?.
Usikose kujua kilichojili, hapa ndo utajua watu wanavipaji vya kuiba. akili nyingi nguvu kisoda.
204d519149ba260f860b711bf645557a.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom