Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kirat....

2d7ad171c65eb9db5957a6c937051bf1.jpg
Asante kwa Hadithi.. UF, kirat, Kansiime na dondoo za BBC anko ake
 
Dondoo za bbc.

Zaidi ya watu 40 wana arifiwa kuuawa katika shambulio linalodaiwa kufanywa na kundi la wapiganaji wa Boko Haram huko Kaskazin Mashariki mwa Nigeria.

Huku Afrika ikizidisha juhudi katika kampeni ya kupunguza maambukizi ya HIV, Hayo yanatoa matumaini finyu ya maisha, huku tiba ya HIV ikiwa ni jambo ambalo halitazamiwi hivi karibuni.

Serekali ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo imetangaza masharti mapya yanayo zuia harakati za waandishi wa habari wa kigeni kufanya kazi nchini humo

Wakati Tanzania inasema kuwa imekusudia kuwa nchi ya viwanda na uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, kumekuwa na ukosaoaji kama azma hiyo inaweza kufikiwa.

Viongozi wa serikali ya Botswana wamekataa ombi la serikali ya China Kuwataka wamruhusu Dalai Lama kiongozi wa dini ya ki budda Kuizuru Botswana na kukataa ombi hilo kwa madai kwamba Dalai Lama ni mtu hatari
Asante
 
Leo katika Historia

1954 - Hugo Chavez anazaliwa.
Alikuwa ni kanali katika Jeshi na baadaye kuja kuwa Rais wa nchi ya Venezuela.Komredi Chavez anakumbukwa sana kwa misimamo yake na isiyoyumba dhidi ya Marekani.
Ni moja kati ya Makomredi walioisumbua sana CIA kando ya Komredi Fidel Castro.
Alifariki mwaka 2013, wengi wanashuku kifo chake kilitokana na faulo toka kwa Marekani.
HBD Hugo Chavez, ila marekani watu wabaya sana aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom