Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kwanza binamu umetokea wapiiiiKabla sijakusalimia kwanza nikuulize swali. Umeamka salama mjomba wangu?
Si unajua njia ya kwenda kazini lazima uchepuke, unachupukia ile njia ya kwa kina Pili halafu ndo najiandaa na michepuko yangu wiki hii yote. Hesabu za michepuo zinahitaji maandalizi. Mimi ni mwalimu wa hesabu, wewe mjomba unajua
Mm niko poa ila nimeshangaa sana kukuona make mateka wa asubh najua faida zake ...
Najua simu umetumia ya muhudumu wa gest ....yako ninayo na nitakachokifanya kwenye simu yako utanijuaa
