Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au ndo wale wahenga wa huna mbele wala nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au ndo wale wahenga wa huna mbele wala nyuma
Ndiooo huyu binamu sijui niachee kufata anayoniambiaaKwahiyo binamu ndio anakutafutia hao wahamiaji haramu
Amen[emoji120]
We akukabidhi demi tu basi [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ukweli upi jamanUkwelii unaumaa
Alafu anajifanyaa mtu mwemaaa na mpoleeKumbe na wewe ulimuona, duh sio kwa minyato ile kapita kama hatujui
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]Napenda kudanganywa ujue mpendwa wa binamu
[emoji120]
Afadhali ya mpendwa wangu kuliko wewe,!!!! Loh! Wake wawili na michepuko tele
Sawa binamu nimekuelewa..aunt kwani tulikubaliana vipi, wewe kumbe ndo unaanzisha hizi habari za wahamiaji haramu. Ziache maana anko hata kama anahusika nitasema hahusiki kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weupe umemsaidia sana[emoji23]
Mwambiee ajiandaee kisaikolojiaaaLeo atakuja mabango gani tena [emoji15]
Mbona goti napigaa kila nikitaka[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] piga goti kabisaa
Hapana baba d akili kichwani mwako sio kila unachoambiwa ufateNdiooo huyu binamu sijui niachee kufata anayoniambiaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani maneno yako yananifanya nikupende zaidi. Hebu niruhusu nikawaambie BoT waweke picha yako kwenye noti ya buku teni kama tangazo
Wanavyokugombaniaga saaasa km mpira wa kona yaaniLakin wanatoshekaaaa
Wewe kula dagaaa
[emoji134] [emoji134] ujue hapa nambembelezana naye harudi we unachotaka kukifanya utasababisha atoke tena baba dMwambiee ajiandaee kisaikolojiaaa
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] sichoki kukupenda lee wanguMbona goti napigaa kila nikitaka
Ila kwa kwelii nakukoseaa sana ....ila ni binamu ananipotezaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mubayaaaYaaaan akionaaa tu churaaa sijuii wewe haunaa ??