Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Tatizo sisi tumekariri kuvuta bangi, bangi inapikwa mboga, inakaushwa na kusagwa unga, unaweza kunywa kwenye chai au uji
Da kumi kubwa za huzuni1/Ugonjwa wa MoyoMoyo ndo injini ya mwili na waswahili husema kazi ya moyo ni kusukuma damu ..kupenda ni kiherehere Huu ndo ugonjwa mbaya zaidi duniani..huweza husababisha na sababu mbalimbali km vile,.. kisukari, shinikizo la jyu la damu na uzito uliopitiliza
Kwa kugundua uzito wa tatizo hili serikali imeanzisha Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete pale Muhimbili
Ndio ugonjwa unaomsumbua Yusuf Manji ila bwana yule na jamaa yake hawamwonei huruma wamekomaa tu na Mhindi wa watu ...tumuombee
Huua watu takribani milioni 7.2 kwa mwaka
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........
Ratiba mpyaa ??…:The Comedy King
Charlie Chaplin
Part VI
.
.
.
Kesho pia km kawa zitakuwepo mbili
Kucheka ni afya
Niwatakie Usiku mwema
......
I wanna be ur lover.Sure...... Go on!
Madame S
Wee mjukuu nakuogopaaa... ...usije Ukasema... 'babu mpira wangu'
Tupe darasa mkuuOoooooh unazungumzia endometrium/ kuta au vitu vinavyopatika ndani ya uterus kuwa nje ya uterus (mfuko wa uzazi)
Hii kitu inawatesa sana wakina mama na maumivu ni makali hasa kwenye siku zao ila kuna matibabu yake
Natumia ya kusaga tu, ni nzuri sana shemela
Pia ujue ukitumia bangi, saratani baibai
I wanna be ur lover.
Would yuh be mine...?
post using my macbook air using jamiiforums app
Ww km siku 3 hukuwepo hapaRatiba mpyaa ??
Jamaaa huyu sijuii alizaliwaa linii
I wanna be ur lover.
Would yuh be mine...?
post using my macbook air using jamiiforums app
Ahaaa na kaaibika kweli si mchezoHajafa msiba wa hivyo alivyoaibika
LohNajua si upo kwa yule wa simiyu ...ila wewe kibokoo
Ya kusaga ndio ipoje ni ya unga unatumiaje au unatumia kwenye nini dooh vingine si vya kuiga Mungu wangu acha tuwe waangaliaji tu shemela
Anaemuandikiaga karudiJana uliongea kiswahili vizuri tu kwahiyo leo umeshaenda usa baby eenh
Kile kitu kwamba ni dhana nakijua na pia hizo thread nishawahi kusomaAcha akafanye kazi uliyompa halafu aje na marejesho ndiyo tutaanzia hapo.....