Makapuku Forum

Makapuku Forum

Da asee hili ni janga zito mungu atusaidie wamama kwa kweli

Mi nikipataga mimba naonaga km kubet hivi maana kuwin au kupotea kabisaa ila kinachonifariji ni kwamba kufa kupo tu hata usipozaa siku yako ikifika utakufa tu

Mpendwa obe naomba nigongee nyimbo ya king crazy gk ya "NITAKUFAJE"
Kumbe huogopi ujauzito
Basi namimi ngoja nije kwako


Naona Obe kasahau ombi lako au huo wimbo asipouleta nikurushie
......
 
HISTORIA YA CHE GUEAVARA:

SEHEMU YA 01:

Ktk hii dunia kuna vitu vingi vya kustajabisha na kushangaza, lkn Mara nyingi mashujaa au watu wengi waliowahi kufanya mambo makubwa walitoka na wanatoka familia za kimaskini sn.

Mara chache sn kukuta shujaa au mtu aliefanya maajabu au mambo makubwa atoke familia yavye mihela ya kufa MTU.

Huyu jamaa GUEAVARA alizaliwa mnamo tarehe 14/05/1928 Rosario nchini Argentina. Alikua alikua mtabibu alikua mfuasi wa itikadi za kisoshalist za kari Marx.

Che anajulikana hasa kw harakati zake za kimapinduzi dhidi ya utawala wa kibepari huko America ya kusini na Africa.

Wakati akisomea utabibu , che alizunguka ktk nchi mbalimbali za MAREKANI ya kusini na kujionea mwenyewe umaskini uliopitiliza .

Alisikitishwa sana na maisha ya ufukara waliokua wanaishi wananchi wengi huku wachache wakimiliki Mali za inchi hizo. Alifikiria sn jinsi ya kubadili hali hii na kuamua Kua njia pekee ya kuleta usawa ni mapinduzi, kuondoa ufukara na umaskini ili kira binadamu angalau apate kinachomstahili ni kufanya mapinduzi hakuna namna nyingine.

.ilipofika miaka ya 50 akiwa anasomea udaktari huko Mexico huyu bwana che GUEAVARA alikutana na Fidel Castro na Raul Castro ambapo watatu hao walipanga mapinduzi ya kumng'oa Raisi wa Cuba wakati huo Fulgencio Batista amabe alikua na mahusiano ya kimaslahi na MAREKANI .

Che alipata nguvu na uaminifu mkubwa kutoka kw Fidel Castro na kupandishwa Kua kiongozi wa wanamgambo (Guerilla insurgents)

Punde tu baada ya fulgencio Batista kukimbia Cuba, che alihusika km mtu muhimu ktk serikali ya Cuba iliyoongozwa na Fidel Castro.
Akiwa km gavana wa benk kuu ya Cuba ambapo saini yake ilianza kutumika ktk noti za Cuba. Baadae km waziri wa kilimo wa Cuba .

Mwaka 1964 akiwa km mmoja ya msafara wa watu wa serikali ya Cuba ktk umoja wa mataifa aliweza kupata sifa ya mwanamapinduzi halisi wa kukumbukwa pale alipotoa hotuba ndefu ktk ukumbi wa UN akilaumu wazi ukimya wa umoja huo juu ya kilichokua kinaendelea Africa ya kusini. (Ubaguzi wa rangi) alinukukiwa akisema ...WALE WANAOUA WATOTO WAO NA KUWABAGUA KILA SIKU KW SABABU YA RANGI YA NGOZI ZAO. NI WAZUNGU WANAWAUA WATU WEUSI NA HAWAKAMATWI.


Aliendelea kusema serikali ya kikabulu inawalinda wauaji na mbaya zaidi inawaadhibu watu weusi kwakua tuu wanataka haki zao na utu wao. vipi watu hawa ( makaburu) wakaitwa watetezi na walinzi wa amani?.

Mwaka 1965 ikiwa ni miezi michache baada ya kutoa hutuba , Che alitoweka ktk maisha haya ya kawaida na hakuna aliejua Che kaenda wapi?...

Je alitowekaje?,
Je inaweza Kua hotuba aliyotoa ilimponza?, usikose...

. ITAENDELEA...........

592995176a068be2e51d1b34a5600d2a.jpg
 
Nikasema moyoni mwangu, Mungu atawahukumu wenye haki na wasio na haki kwa kuwa kuna wakati huko kwa kila kusudi na kwa kila kazi

Nikasema moyoni ni kwa sababu ya wanadamu ili Mungu awajaribu nao waone ya kuwa wao wenyewe wafanana na wanyama

Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama jambo moja lawatukia anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu naam wote wanayo pumzi moja wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama kwa maana yote ni ubatili

Wote huendea mahali pamoja wote hutoka katika mavumbi na hata mavumbini hurudi tena
MUHUBIRI 3:17:20

Niwatakie usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu
 
Kumbe huogopi ujauzito
Basi namimi ngoja nije kwako


Naona Obe kasahau ombi lako au huo wimbo asipouleta nikurushie
......


...hapana sijasahau, naweza kusahau ombi la mwingine yeyote sio husna muba na analijua hilo maana kila nikimfikiria na nahisi kuwa karibu na yeye zaidi.

Huwa napenda kutoa time kidogo ili chaguo lisiathiri nyimbo ambayo nakuwa nimepanga kuicheza siku husika. naamini unaelewa ninachomaanisha.
 
...hapana sijasahau, naweza kusahau ombi la mwingine yeyote sio husna muba na analijua hilo maana kila nikimfikiria na nahisi kuwa karibu na yeye zaidi.

Huwa napenda kutoa time kidogo ili chaguo lisiathiri nyimbo ambayo nakuwa nimepanga kuicheza siku husika. naamini unaelewa ninachomaanisha.
Me naona ombi langu nilimchagulia mjomba ako kimyaa sasa me utaniwekea kesho binamu usiku mwema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom