Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/Ugonjwa wa Moyo
b378472f83def2fdc74aa99004b9185c.jpg
e9ba76c22b502f6f5d48ce5cf401aa56.jpg
f4219b9d1eaf7b45d9379072b7dfd0a5.jpg
Moyo ndo injini ya mwili na waswahili husema kazi ya moyo ni kusukuma damu ..kupenda ni kiherehere Huu ndo ugonjwa mbaya zaidi duniani..huweza husababisha na sababu mbalimbali km vile,.. kisukari, shinikizo la jyu la damu na uzito uliopitiliza
Kwa kugundua uzito wa tatizo hili serikali imeanzisha Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete pale Muhimbili
Ndio ugonjwa unaomsumbua Yusuf Manji ila bwana yule na jamaa yake hawamwonei huruma wamekomaa tu na Mhindi wa watu ...tumuombee

Huua watu takribani milioni 7.2 kwa mwaka
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........
Da kumi kubwa za huzuni
 
Muziki: Kila Mtu Apambane na Hali Yake

Ni Jumatatu na ndo inaelekea kuisha, nakusalimia Kapuku mheshimika sana. Unajua kabisa sitochoka kukwambia hapa KF ni sehemu bora sana tu kwa kuwa wewe upo hapa, bila wewe hapa ni sehemu tu ya kawaida kama maeneo mengine. Uwepo wako hapa unaongeza madini wacha wapiganie makinikia.

Nilikumiss wikend yote, ndiyo, kuna kumiss na kumissiana na kwangu missing someone so dear like you is a two way traffic, naamini ulinimiss pia. Asante kwa wadau wote ambao leo jumatatu sitowataja maana wao huwa wanatuamsha kwa magazeti, BBC, hadithi, sala (leo imekuwepo, asante aunt yangu), historia na picha bila kusahau kumi kubwa na leo tumeangalia magonjwa. Nimejua mengi kupitia nyingi wadau wote wa KF, michango yenu ni informative, civilized na zaidi inahimiza utangamano (harmony!!!!). Kwanini hili lisiwe Jukwaa bora kabisa kwa sasa hapa JF, ikiwa wewe ni sehemu yake! Shangaa hata wewe, kila mtu apambane na hali yake, naupenda huu msemo, jua hilo.

Muziki sasa, kuna muziki au wimbo unatengenezwa studio na ukitoka unaona kabisa kuna watu walikaa chini na kuvipa kazi vichwa vyao na si kuvipaka mate vichwa vyao. DJ Ganyani toka kwa mzee wa After Sex Shower (JZ) utamsikiliza hapa na utaupenda muziki wake, jamaa anajua kuchanganya muziki na ninamfananisha na DJ Kobo-

Burudika haka akiwa kamshirikisha FB



Baaday tutapata wadhamini na kama kawaida ni furaha kusikia chaguo lako
 
Acha akafanye kazi uliyompa halafu aje na marejesho ndiyo tutaanzia hapo.....
Kile kitu kwamba ni dhana nakijua na pia hizo thread nishawahi kusoma
Sasa niliandika mada lengo likiwa ni kuonyesha magonjwa yanayosababisha vifo vingi duniani

Hivyo uwasilishaji wa taarifa inabidi samtaimu uegemee kwenye ishu husika(utabibu) halafu watu kama nyie na wengine nao wataongea mnavyojua ndo kama alivyofanya Jimena zen mgongano wa mawazo unasababisha watu wapate elimu pana zaidi

Shukrani kama umenielewa
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom