shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kwa hiyo na wewe ukampaa ??Nilibaki nayo mimi, ndiyo. lakini mkeo kaja anataka akatoe hela. Mimi nikampa maana umeniachia simu bila password.
yaani nilikaa na simu tu kama mtu alieachiwa funguo za kufungua mlango wa gari tu na si kuliwasha
Haaaaahaaaa aisee..ha hahaha, yaani wewe ndo mjomba wangu kabisa. hata mimi kupigana siwezi kabisa, sisi ni damu moja aisee.
tena anko tukiona wanazuia uchawi tutafute mganga wa majini
Watoto wenu wapiiSawa baba watoto
Utuwekee hapahapaNitakutafutia movie nzima mkuu wala usipate shida
Sawa,hbr ya uzima lakinKama umefurahi unilipe kidogo mana nimehusika apo kwi kwi kwi
Shemela shunie anawajuaWatoto wenu wapii
Wewe ndo maana ukuu wa shule walikunyanganya huwez mueleweshaa mtu akaelewa...yeah ndo hiyo hiyo, yaani ni sawa na ile alama ya mara, yaani teller, demi, hamiaji haramu mara mjomba
Karibu sana muft!Nitakuja unionjeshe
Yap ur wrong ma bway cuz mi nah use search tingz like dat ...Got you
After seeing Jamaica your brain blust like a bomb cause you feel something delicious MARIJUANA am I wrong?
anko hebu mchukue maelezo Shunie maana inawezekana ndo kaviondoa. Unanijua kabisa mambo ya simu sijui hata kidogo na leo ndo nimeweza kufanya skirinishoti


let me take a look ur sreenshot please...Nasubiri kaka Bitoz ziwahiwahi bac kabla cjapitiwa na ucngizi nijikee mwenyeweKila siku natupia mbili
Baadaye zitakuwepo mbili
Pia post za nyuma zipo km 4
......
Guess that ma nig am nah coming from states...I thought you were coming from the States.
Yeah n kweli kabisa unachosemaMadame S,tatizo kubwa sana kwetu ni mapokeo tu
Shock inakuja pale unapokumbuka viwanja ulivyocheza maana vingine huna imani navyo hivyo lazima uwe katika hali hiyo
Mungu atunusuruMdau siioni kwangu, nimebahatika leo , kumbe simu yangu waweza fanya screenshotView attachment 549355

Tutawasiliana mkuu maana kwa ss niko dom then ntarejea unguja.Nikija unguja nitakutafuta dumejeuri, last week nilikuwa huko
..yaani unakuta mtu ana mpenzi mmoja tu au hana kabisa lakini kila mwezi anaenda kupima! Huku ni kuharibu rasimali za serikali, wapime wahitaji.
Yaani ukipima halafu ukatoka negative unapaswa ushitakiwe kwa kuchezea vifaa tiba vya serikali.
Huwa sitakagi mchezo kwenye masuala ya mali za umma🙁
mkuu umetisha