mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Unaona eehNi kweli wengine hapa tutakimbia bure
Unaona eehNi kweli wengine hapa tutakimbia bure
Hio ni kwenye siasaMara nyingi wanaotuhumiwa wachochezi wanakuwa wameongea jambo la ukweli..
Kwenye chai au uji+juisiYa kusaga ndio ipoje ni ya unga unatumiaje au unatumia kwenye nini dooh vingine si vya kuiga Mungu wangu acha tuwe waangaliaji tu shemela
Uyo mganga wako na mimi nielekeze nna kazi nayeBabu..you know am right.
Aiseeee si mtu unaweza kuwa chizi kama kichwa chako chepesiKwenye chai au uji+juisi
Kwa lipi mjukuu wanguHongera sana babu
Muzungu in the houseHello guys..?
post using my macbook air using jamiiforums app
Ha ha ha ha ha ha ha haKaraha mie ni mke wa mtu babu
Demi umeonaKaraha mie ni mke wa mtu babu
Babu..you know am right.
Marahaba Mjukuu mwee.... Hujambo?Shikamoo babu
Hii hali inantokea sana sijui kwa niniHili tatizo hizi nchi maskini ni kama linazidi kujua tu
Mtu atavamije kwao.. ...hapa ni kwenu hujavamiaMungu atusitiri tuwe makini
Kupima afya ni vyema zaidi sasa hivi hukupa uhakika juu ya afya yako na inakufanya unakua makini zaidi
Nimevamia sijui![]()
![]()
![]()
![]()
hope mko poa!! Jioni njema!
Madame S
You gonna shock if you usually doing sexual intercourse....but if you always use protections (condoms) you won't be afraid....Unajua shululu ni rahisi sana kusema hivo sababu haujakumbwa pengine na hali hiyo
Ila pamoja na kua unajua fika mienendo yako, kupima ukimwi kunakuaga na shock flani hivi yan sjui inatokaga wapi
Madame S
Mtoe kasumba ya kukamia big match pekeeKuna laana pale sio buree ha ha haaa ile mechi nlitamani iliniharibia mpaka mizunguuko yangu dah.
Hivi tatizo nini hasa?
What's up ma gyal..?Muzungu in the house