Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,284
- 35,655
Wewe ndo maana ukuu wa shule walikunyanganya huwez mueleweshaa mtu akaelewa
Ha hahahahahah, ila wameshindwa tu kutonifanya nisiwe mwalimu wa zamu. Unajua unaweza kubarikiwa kwa namna tofauti, walininyima umwalimu mkuu, lakini wiki jana nilikuwa mwalimu wa zamu
usimchunge sana