Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,287
- 35,665
Siku ile tumeweka dau na wale washikajii tunafika hospital wale wanne wakatimua mbio siri ule mshiko tunajipatia mchemsho kwa kufojiii karatasi na kipind hicho hatujui positive anakuwaje na negative anakuwaje...
Unakumbuka wee ulijaza positive kama sikoseiii ...au nimekoseaa
Ha hahahahah, walikimbia sana na hasa yule ambaye kanisani ndo anasoma matangazo na wanakwaya kiongozi. Ila anko ulikuwa unatetemeka japo ulivaa suti lakini niliona hadi colar inatetemeka.
usingeongea na yule mpimaji sijui ingekuwaje, tukajinywea supu yetu swaafi. si ndo siku ile uliondoka na yule mhamiaji haramu au ni baada ya hapo.