Makapuku Forum

Makapuku Forum

...hapana sijasahau, naweza kusahau ombi la mwingine yeyote sio husna muba na analijua hilo maana kila nikimfikiria na nahisi kuwa karibu na yeye zaidi.

Huwa napenda kutoa time kidogo ili chaguo lisiathiri nyimbo ambayo nakuwa nimepanga kuicheza siku husika. naamini unaelewa ninachomaanisha.

Ndo maana nikasema kwanza
Nilihisiningeharibu
.....,.
 
Chaguo la Wapendanao

Nimerudi tena maana sijachelewa, wala kusahau, unajua chaguo la muziki unalopenda siwezi kusahau. Amini hivyo, bado nakumbuka hata chaguo la Jimena ambalo Bitoz alisaidia kupandisha ngoma za J.Lo. Umeamini sasa sisahau?

Anaitwa Maria Carey, huyu sitaki kumulezea sana maana anajulikana na hata wasiopenda miziki ya kidunia. Ni chaguo la Madame S kwenda kwa mahabua wake Bailly5

Na linafuatiwa na la Shunie kwenda kwa anko wangu lee empire (afu mjomba eti mimi nafanana na Chalie Chaplin? Nimeambiwa nikuulize na mzeewakungoa )

Asanteee sanaaa ubarikiwe mnoo

Bailly5 hope utaipenda

If it is wrong to love you, then my heart just wont let me be right
Coz am drawning in you, i give u my all
I had risk my life to be a yo body next to mine

I love you soooooo much hope u know my love

Madame S
 
Chaguo la Wapendanao

Nimerudi tena maana sijachelewa, wala kusahau, unajua chaguo la muziki unalopenda siwezi kusahau. Amini hivyo, bado nakumbuka hata chaguo la Jimena ambalo Bitoz alisaidia kupandisha ngoma za J.Lo. Umeamini sasa sisahau?

Anaitwa Maria Carey, huyu sitaki kumulezea sana maana anajulikana na hata wasiopenda miziki ya kidunia. Ni chaguo la Madame S kwenda kwa mahabua wake Bailly5

Na linafuatiwa na la Shunie kwenda kwa anko wangu lee empire (afu mjomba eti mimi nafanana na Chalie Chaplin? Nimeambiwa nikuulize na mzeewakungoa )

Binamu asante sana naweza kulala sasa Baba D popote ulipo jamaan ikufikie hii nyimbo hata binamu akisema upo na wahamiaji haramu kutoka wapi sijui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom