1/
Ugonjwa wa Moyo Moyo ndo injini ya mwili na
waswahili husema kazi ya moyo ni kusukuma damu ..kupenda ni kiherehere Huu ndo ugonjwa mbaya zaidi duniani..huweza husababisha na sababu mbalimbali km vile,.. kisukari, shinikizo la jyu la damu na uzito uliopitiliza
Kwa kugundua uzito wa tatizo hili serikali imeanzisha Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete pale Muhimbili
Ndio ugonjwa unaomsumbua
Yusuf Manji ila bwana yule na jamaa yake hawamwonei huruma wamekomaa tu na Mhindi wa watu ...tumuombee
Huua watu takribani milioni 7.2 kwa mwaka
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........