shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Aisee, ukienda kupima malaria huwa wanapitiamoSipimi mpaka nimpe mtu tumbo mana hiyo midawa yao siipendi
Aisee, ukienda kupima malaria huwa wanapitiamoSipimi mpaka nimpe mtu tumbo mana hiyo midawa yao siipendi
Ya maneno yako juu ya LiverpoolYa nini ?
Msalimie sanaKuna mambo yamemlazimu kuwa nje kwa muda
Ahsante kwa ushauri mkuu3/Maambukizi katika njia ya upumuaji![]()
![]()
![]()
Hakuna mswahili asiyeujua ugonjwa wa pumu
Pia juzijuzi kuna kapuku mwenzetu kapoteza maisha kutokana na maradhi ya upumuaji{RIP Ibra)
Huu ushambulia mfumo wa upumuaji...Unaweza kuwa pneumonia au bronchitis
Tunasisitizwa kufanya mazoezi,kula vyakula salama kwa afya,kuishi kwenye nyumba zenye hewa swaafi yaani madirisha yanayoruhusu hewa kupita,pia tupandikize miti nyumbani,kuepuka kazi za vumbi n.k
Husababisha vifo 3.5 Milioni kwa mwaka
.........
J.Lo cha wote
Pia kapiga sana picha za utupu
Kwa mastaa wa majuu ni fasheni
....
Tafuta thread mbali mbali za Ukimwi hapa Jf ujiongeze kwenye hicho kiini macho!Juzijuzi tu nimepima kitu -ve
Ila sibweteki
Kapimeni jamani
![]()
![]()
![]()
.....
Kabisa
Bangi haina madhara zaidi ya stimu
Huu nao ni tatizo9/Kifua Kikuu![]()
Huu ugonjwa huenezwa na bacteria kwa njia ya hewa...huathiri zaidi mapafu lakini pia huweza kuenea hadi katika vuingo zingine![]()
Mgonjwa hupoteza uzito kwa kiwango kikubwa
Kuna uhusiano mkubwa kati ya Kifua Kikuu na mtu kuwa na VirusiVya Ukimwi
Husababisha vifo 1.4 Milioni kwa mwaka
..........
Poa nikipata mudanitafuatiliaTafuta thread mbali mbali za Ukimwi hapa Jf ujiongeze kwenye hicho kiini macho!
Kwa taarifa yako tu hakuna sehemu yoyote Ile ambapo wanapima na kuwaona hao Virus wao wanapima antibodies tu![]()
Sasa fatilia kwa undani kisha uje kushare uzoefu wako
Pole sana mtaasisiMdau siioni kwangu, nimebahatika leo , kumbe simu yangu waweza fanya screenshotView attachment 549355
Hata maelekezo mkuu waweza kuja pm tuNitakutafutia movie nzima mkuu wala usipate shida
Ukimwi (ukosefu wa kinga mwilini) hili kweli ni tatizo7Ukimwi![]()
![]()
![]()
Ferouz likiri wazi kwamba starehe zimemponza ila MwanaFA kwa umbea akasema marehemu alikufa kwa ngoma
Siku hizi kila mtu ni bonge sasa sijui utamtambuaje
Huu huenezwa zaidi kwa kujamiiana(hatachi ng'o)
Haina tiba bali una kinga(kondomu)....Zamani mtu akiugua hili gonjwa ilikuwa ni rahisi kumjua ila siku hizi ARV zimewafanya watu wanenepe na kupunguza vifo vya mapema
Huua watu 1.8 Milioni kwa mwaka
..... ..
Yap wamepata beki
I just said, kupima afya hukupa uhakika wa afya yako na hukufanya uweze kua makini zaidiSizani kama kupima afya ndo dawa mana ukiukwaa imekura kwako tu
Mwenye Enzi atusitiri tusiupate
Jlo jembe la ukweliAsante sana kwa hizi Ngoma
Huo Jen from the block ndio alikua akiwajulisha watu kwamba hajabadilika yeye ni yule yule wa kitaa
All I Have ni moja kati ya Ngoma zake ambazo nazielewa sana
Kiufupi namkubali sana JLO
Hili tatizo hizi nchi maskini ni kama linazidi kujua tu5/Vifo vitokanavyo na uzazi![]()
Kuna usemi kwamba ujauzito ni nusu ugonjwa![]()
Kilichomtokea mke mdogo wa Mzee Yusuf juzijuzi hapa kila mtu anajua...inasikitisha
Vifo vinavyoongelewa ni vya mama wajawazito pamoja na vya watoto wachanga wakati wa kujifungua
Huathiri zaidi nchi maskini kutokana huduma mbovu za afya
Kina mama nusu Milioni na watoto zaidi ya 2.5 Milioni hufariki
Jumla ni vifo 3+ Milioni
.........