Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Wake wawili watakushinda.... Kama unaanza kusikiliza umbea wa mke mdogo... Shauri yako. Na ukimwacha tu mjukuu wangu naenda kwa mchina [emoji2]Asanteee
Wee mjukuu nakuogopaaa... ...usije Ukasema... 'babu mpira wangu'[emoji2] [emoji2] [emoji2]Na mm nataka
Kuna laana pale sio buree ha ha haaa ile mechi nlitamani iliniharibia mpaka mizunguuko yangu dah.Makosa yenu ni yale yale kumbuka hata ule msimu Suarez yupo on fire ligi mliongoza kwa kitambo ila Crystal Palace ndio akakusimamisheni
Natumia ya kusaga tu, ni nzuri sana shemelaAiseee halaf shemela wewe utakua mtumiaji wa majani
Naona amesahau msemo Wa wahenga Wa"nguo ya kuazima haisitiri ma.ta.koStaa Bongo movie anaazima hadi nguo za ndani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.
.
.morning wadau
Nawasalimu kwa chenga ya Martial
..
Hajafa msiba wa hivyo alivyoaibikaKafa ama?!
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Shukrani mkuu
Hapo sijakuelewa mchina ndio nani anahusikaje na mimi hapoWake wawili watakushinda.... Kama unaanza kusikiliza umbea wa mke mdogo... Shauri yako. Na ukimwacha tu mjukuu wangu naenda kwa mchina [emoji2]
Nitaileta tuTafadhali fanikisha shululu wa Tumosa
Una chembechembe za uchochezi [emoji3] [emoji3]Hao polisi mkojo Wa lisu wao Wa nn?
Najua si upo kwa yule wa simiyu ...ila wewe kibokooNakusalimia mjomba, kamati ya fitna unaijua kabisa. Sasa bahati nzuri mpwao niko kwenye kamati ndo nakuibiaibia mipango mkakati.
Nilitingwa leo text za jana nazisoma leo.
Ya kusaga ndio ipoje ni ya unga unatumiaje au unatumia kwenye nini dooh vingine si vya kuiga Mungu wangu acha tuwe waangaliaji tu shemelaNatumia ya kusaga tu, ni nzuri sana shemela
Pia ujue ukitumia bangi, saratani baibai
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Kwelii ujue mara nyingi namuona anatetea kuhusu jani la kijani
MwekahazinaaaKatibu