Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Kivipi mkuu mbona hapaendani?Jidanganye
....
Kivipi mkuu mbona hapaendani?Jidanganye
....
Bila hiyana kiongozi nakupeleka ulingoni uone pambano moja heavy kuliko hilo lijaloKuna move ulicheza ulingoni naonaga vipande tu hem nipatie hiyo nimeipenda sana
Champlin
5/Vifo vitokanavyo na uzazi![]()
Kuna usemi kwamba ujauzito ni nusu ugonjwa![]()
Kilichomtokea mke mdogo wa Mzee Yusuf juzijuzi hapa kila mtu anajua...inasikitisha
Vifo vinavyoongelewa ni vya mama wajawazito pamoja na vya watoto wachanga wakati wa kujifungua
Huathiri zaidi nchi maskini kutokana huduma mbovu za afya
Kina mama nusu Milioni na watoto zaidi ya 2.5 Milioni hufariki
Jumla ni vifo 3+ Milioni
.........

Usisahau hiyo ni catalyst muhimu kuwafanya broiler wawe na thamani zaidiNatamani ipigwe marufuku sema ndo hivyo tena miradi ya wakubwa.
Hii midawa imeondoa khofu yote iliyokwepo mwanzo noma sana
Bila hiyana kiongozi nakupeleka ulingoni uone pambano moja heavy kuliko hilo lijalo

Benjamin Mendy amesign miaka mitano man city
Nimeweka kumbukumbu![]()
![]()
![]()
![]()
Tusifike huko sitaweza kujitetea.
Ila Garrad kwapa kanyanyua sana tu bahati mbaya kakosa EPL tu
Usini Quote mkuu ila kwa sasa dalili zipo karibu tutabe.
:
Lilikuwa bonge la mechi
Man Utd alikimbizwa sana
Ila Martial alichowafanyia Madrid ni aibu
Ila Agosti 8 super cup itakuwa balaa
.....

Nakuja muda si mrefuSalama,tumekumic kweli
Pamoja saanaaAsante jimena kwa 'leo katika historia.'
Habari yako shem
![]()
Achana na Kim Kardashian au Katie Price (Jordan)
J.lo ni mmoja kati ya mastaa wa kike mapepe warembo na mapepe a.k.a cha wote
Ben Afleck,P.diddy na mastaa kibao wamepiga ...bila kuwasahau madansa wake![]()
Filamu ya Anaconda ilimwonfezea umaarufu na pia kuingiza mkwanja wa kueleweka :
Jenny fFrom The Block
:
All I Have
.....
Tumbaku ni hatari sana4/Ugonjwa wa Mapafu![]()
![]()
![]()
Mwana vuta tu sigara maana mapafu ni mali yako pia sigara unanunua kwa pesa yako ila elewa tu huo sio ujanja na mapafu yako yamejaa masizi kama sufuria la maharage kwenye jiko la kuni
Unafahamika zaidi kitaalamu kama CORD..Unaweza kuwa Wa muda mfupi au mrefu
Uvutaji sigara huchangia huu ugonjwa
Unaua watu 3.3 milioni kwa mwaka
.........